Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 116,980
- 216,534
Kwa kabila Mchange ni mzaramo , hawa hata ukiwapa bei gani wao ni kuongeza wake tu , hivi kijana kama Mchange ni wa kumiliki wake wanne yule ? Taarifa ambazo hazijathibitishwa zinanong'oneza kwamba kila siku awamu ya 5 inamlipa 15mil kwa huo ujinga anaoandika ! Sometimes nawaza hivi hela kama hizo kwanini wasikupe wewe unayeshupaza shingo humu jf kutetea mauaji na udikteta ? ama kweli dunia haina huruma .Mchange anatembelea bodaboda.......ndio anapiga hela huyo?!