Wamechokwa na wananchi.
When people they have got no other way to show their dissatisfaction they resort to extreme measures, so long as its non violence I don't see any problem (this so called viongozi they don't listen to reason), therefore may this will grab their attention
Benard Membe said:Serikali yenu inasikia kilio chenu na machungu yenu, inachukua hatua za muda wa kati na muda mrefu, baadhi ya matokeo mtayaona karibuni, baadhi yatachukua muda. Hakuna machungu yasiyo na mwisho.
Benard Membe said:-Tunaelekea kwenye mchakato wa Katiba mpya ambalo ni jaribio lingine. Jaribio ambalo tukifanikiwa kulivuka tutakuwa tumefikia nchi ya ahadi, Tanzania tunayoitarajia.
sitta
membe
lowassa
wote wameenda 'makanisani'
Sio
kweli kwamba Mh. Membe amezomewa leo. Huyo aliyeleta post hii ni MUONGO
MKUBWA. Membe ameshangiliwa saaaana na umati mkubwa uliopo uwanjani.
Namshangaa sana
Kwani tamasha la Pasaka limeandaliwa na kanisa gani?
kwani mkisema ukweli mnakufa? Membe alipoboa watu alizomewa uwanja mzima labda isipokuwa nyi wana usalama mliokuwa mnatukodolea macho watu tuliionekana kama tuna chat na simu! Ujinga wenu kujikomba tu kwa wakubwa!
..jamani huu ni ULAGHAI wa mchana kweupe.
..shame on him kusema uongo wa waziwazi ktk tamasha la kidini.
ndo kazi waliyobakiwa nayo. Kuhudhuria misiba,harambee na matamasha. Maana shughuli ya kuwaletea wananchi maendeleo imewashinda. Mi naomba tu wananchi waendelee kula hiyo michango yao kwani ni kodi zetu wanazotuibia wanaturudishia
To a hoja na sio kukimbilia kuwa sumu watu wa usalama. Ni wakati gani Membe alizomewa?
Inaonekana
watoto wa mafisadi mumeumia sana na kitendo cha Membe kuwa mgeni rasmi
ktk Tamasha hili. Na bado, mengi yanakuja, subirini, mutaumia zaidi
kama hii ndio style yenu.
anazomewa huyo fisadi papa
..jamani huu ni ULAGHAI wa mchana kweupe.
..shame on him kusema uongo wa waziwazi ktk tamasha la kidini.
Wana JF mimi naomba kuuliza, hivi Tamasha hili la Pasaka liliandaliwa na nani? Madhumuni yake yalikuwa ni nini? Mbona sijamsikia mtu yeyote toka ktk Kamati iliyoandaa Tamasha hili akilalamika kwa namna yeyote? Kila mtu aliyehusika ktk Tamasha hili amefurahia sana, hivi haya maneno yanatoka wapi? Huoni kama uharibu shughuli ya wenzio ambayo ilifanikiwa sana? Ni vizuri zaidi mtoa hoja akatueleza ni wakati gani Membe alizomewa? Maana nimepitia video ya tukio zima toka Membe alipoingia uwanjani hadi alipotoka, sijaona hata sehemu moja alipozomewa, zaidi ya kushangiliwa. Kwa mantiki hii, nina wasi wasi na mtoa hoja huenda ana agenda yake ya siri na Mh. Membe. Na wengi wanaomchukia Membe ni MAFISADI au wale wanaomuona kuwa ni tishio ktk medani za kisiasa.
aisee nilikuwepo pande zile mh, waziri alikuwa anatoa hotuba ya kisiasa sijui serikali yenu inapunguza uchungu wa maisha, katiba alikuwa anakera sana sijui kwanini nchi yetu wanasiasa wanatukuzwa sana kuliko viongozi wa dini lakini dhambi yao itawatafuna 2015 leo naona atakuwa amejifunza kitu
Kama alishangiliwa basi usishangae hii ya kushangiliwa kwa kuzomewa.........................