Meli ambayo inasemekana ni ya uvuvi iliyokuwa imeegeshwa pembezoni mwa bandari ya Dar es salaam (Feri posta ya zamani) imewaka moto na kunguu vibaya.
Mashuhuda wa ajali hiyo wamesema kuwa meli hiyo ilikuwa imeegeshwa hapo kwa mda mrefu sana kwa sababu ya matengenezo yaliyokuwa yanendelea kwenye meli hiyo.