Tronics guru
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 10,372
- 7,981
Inachanganya ina hayo majina yote.kwa siyo evergreen ni evergiven? ... mimi najua inaitwa evergreen
Ever given......haya ni makampuni tofautikwa siyo evergreen ni evergiven? ... mimi najua inaitwa evergreen
Ever given ni jina la meli,kwa siyo evergreen ni evergiven? ... mimi najua inaitwa evergreen
Umepotosha, soma post yangu no.7Ever given......haya ni makampuni tofauti
Meli jina lake ni ever given lakini kampuni ya meli hizo inaitwa evergreen ina maana ina meli nyingi tu hiyo moja inaitwa ever givenkwa siyo evergreen ni evergiven? ... mimi najua inaitwa evergreen
asnte nikuelewa mkuuEver given ni jina la meli,
Ever green ni kampuni inayo miliki / operate hiyo meli.
Mfano,
Azam marine na kilimanjaro IV, V, VI & VII.
Ever green wana meli nyingi, ever given ikiwa moja wapo.
Soma chote utaelewakwa siyo evergreen ni evergiven? ... mimi najua inaitwa evergreen
Beberu aitwe beberu, wadachi wamekuja siku 3-4, imetoka, wamisri walikuwa wanahisi ni kazi ya wiki 2-3.😛Tayari inaendele na safari
Walioichomoa ni wamisri wenyewe, Netherlands, Japan na wengine wamesidia kidogo, wanashangilia huko Walioichomoa.Beberu aitwe beberu, wadachi wamekuja siku 3-4, imetoka, wamisri walikuwa wanahisi ni kazi ya wiki 2-3.
Shikamoo beberu!😀
Everyday is Saturday............................... 😎
Na hili nalo unataka kuleta ligi na pengine udini kabisa?Walioichomoa ni wamisri wenyewe, Netherlands, Japan na wengine wamesidia kidogo, wanashangilia huko Walioichomoa.
Boskalis a Dutch Salvage company!Walioichomoa ni wamisri wenyewe, Netherlands, Japan na wengine wamesidia kidogo, wanashangilia huko Walioichomoa.
Na hili nalo unataka kuleta ligi na pengine udini kabisa?
Twendeni taratibu.Boskalis a Dutch Salvage company!
Point ni kwamba beberu kahusika.
Wamisri walihitaji uwepo wa beberu. Hawakuita wakenya wala wasomali.
Everyday is Saturday............................... 😎
Big up egypt naona tug nane hapo kwa haraka haraka......Twendeni taratibu.
Wanetherland walikuja wa wakawa optimistic na mpaka kusema wa nahitaji ku offload makontena kwenye meli.
Hii ni quote wakati anahojiwa na TV yao jumatano
Berdowski told Dutch TV on Wednesday that his company had determined it was impossible to free the ship with its current cargo on board. "The ship with the weight that it [has] now has is impossible to pull," he said. "You can forget about that."
Source
Dislodging the huge ship blocking the Suez Canal could take 'days to weeks,' as the traffic jam builds | CNN
Shipping experts believe it could take days or even weeks to free the 224,000-ton vessel that is wedged across the Suez Canal, blocking one of the world's busiest waterways since Tuesday.edition.cnn.com
Japo wadachi walikata Tamaa jamaa wa Egpty mdogo mdogo wakawa wanachimba tena na vifaa dhaifu kama vijiko vya kawaida
Hii picha ilikuwa meme vyombo vya Habari vya magharibi vikidhihaki excavator kutumika kuchimba hio meli ilipokwama.
Ila wa egpty hawakuvunjika moyo na vifaa vyao dhaifu waimeitoa hata kabla ya wiki kufika.
Hii ni diagram ya ya vessel wakati inaokolewa toka vesselfinder
View attachment 1738762
Angalia hizo tug almost zote ni za Egpty.
Marekani, Japan, uingereza na super power kibao zili offer msaada kuikwamua, jamaa wamefanya wenyewe wapeni credit zao msiwe wanafiki.