- Feb 10, 2006
- 4,542
- 16,818
Ina rangi ya blue na haijakamilika kupakwa rangi... Ni ya mizigo kama ile iliyopinduka kule Zanzibar na ilikuwa imepaki jirani na parking ya boti ziendazo Zanzibar. Kwa maelezo niliyopata kwa wadau ni kuwa ile ni meli yake kabisa Bakhresamkulu mie nilikuwa sijui kama bakhresa anamiliki meli za mafuta??...au ni meli iliyobeba mafuta kwa ajili ya magari ya bakhresa?
wala sishagai tena maana mabomu ya mbagala walienda kuyaangalia!Watu naambiwa wanasogea karibu na bahari kuangalia tukio kitu ambacho ni hatari hasa kwa meli za mafuta!
Ni tatizo kubwa kwa Tanzania, likilipuka bomu watu wanakimbia kidogo kisha wanarudi ili kuwa mashuhuda!wala sishagai tena maana mabomu ya mbagala walienda kuyaangalia!
mwezangu hapa ofisini kwetu tumeona moshi mkubwa but we donknow whats happening tumemuuliza mlinzi naye hajui, heee kumbe masikini pole yake.Wakuu,
Napata taarifa sasa hivi kuwa kuna meli ya mafuta ya Bakhresa inaungua moto karibu na Posta ya zamani, naambiwa imeshaungua zaidi ya nusu...
Kama kuna wenye kuwa karibu na eneo hilo pls tunaomba updates zaidi