avogadro
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 7,324
- 12,734
Thubutu!!! wataenda kuonyesha "KICHUGUU" Kiitwacho mlima kenya na kuwaambia ndio mlima kilimanjaro maana zilenjia za panya walizokuwa wanawapitisha sasa zimefungwa.Angalizo.wakiwaulizia mlima Kilimanjaro upo wapi?naomba muwaonyeshe ulipo.