Nishawahi ona documentary yake DSTV...
Ila
Amavubi hii nadhani ni the second largest Cruise Ship "Meli ya Abiria" inaitwa Oasis of the Seas(2009), kubwa kuliko zote huitwa Allure of the Seas (2010), zimepishana kidogo sana kwenye urefu ila vipimo vingine ni karibu sawa.
Zote zinamilikiwa na Royal Carribean