zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 19,081
- 28,742
- Thread starter
-
- #321
Okay basi naomba unisaidie Yesu anaposema ametumia mafumbo (Parables) ili "kuficha" alimaanisha nni?? Je ili uweze unlock hizo siri ufanyeje??Msingi wa hoja yangu ni kukataa kumsingizia roho mtakatifu kwamba wasioelewa jambo basi hawana huyo roho mtakatifu, huenda kuna wasioelewa kwa sababu "wanafalsafa" wamewachanganyachanganya kwa falsafa zao badala ya ukweli ulio wazi na ulio simple kabisa aliofundisha Yesu Kristo wa Nazareti
So alimtapika?Yesu hakuwa na mama,,huyo mariam aliemzaa Yesu alikuwa njia tu na sio mama kamili,,hakuna mwanaume aliemuingia mariam ili apate mimba kwa hio Alikuwa Kama surrogate tu kwa Yesu na hana umama wowote.
Mungu wa kwenye Biblia huwaweza kujigeuza Binadamu anapopenda Kama alivyomtembelea IBRAHIMUKwa hiyo kuna Mungu wangapi kwa mujibu wa Bible?
Ujajibu swali langu je kuna Mungu mmoja ambaye ndie Yesu au kuna zaidi ya mmojaMungu wa kwenye Biblia huwaweza kujigeuza Binadamu anapopenda Kama alivyomtembelea IBRAHIMU
Soma
Mwanzo Sura ya 18 yote.
Jambo ambalo halijawahi kutokea kwenye Imani nyingine.
Kumbuka hii no kwa mujibu wa Biblia.
Usihofu na MajinaUjajibu swali langu je kuna Mungu mmoja ambaye ndie Yesu au kuna zaidi ya mmoja
Usihofu na Majina
Kwa mfano
Nasikia Mungu wa Waislamu ana Majina 99.
Je Mungu wa Waislamu wapo 99 ?
Turudi Kwetu.
Hapo zamani Za Musa, Mungu ambaye Yupo katika Asili Ya Roho Ambaye haonekani kwa Macho, wakati Mwingine alitaka amwoneshe Mtumishi wake Musa Uwepo wake kwamba yupo.
Sasa atajioneshaje ?
Akijitokeza Katika Utukufu wake Musa atakufa.
Kwani Binadamu hawezi kuhimili Utukufu wake.
Kwakuwa yeye ni Mungu ikabidi auoneshe Uwepo wake kwa Musa ili amwamini kuwa yupo.
Hivyo akaamua wakati Mwingine ajionesha kwa umbo la Moto unaowaka Kama kule mlimani Sinai alipompa Amri Kumi.
Sehemu nyingine alijionesha Kama Nguzo ya Wingu mchana na Nguzo ya Moto usiku, pale alipowaongoza Waisraeli kuihama nchi ya Misri.
Zama hizo alijiita kwa majina Kama.
+Niko Ambaye Niko
+Baba wa MILELE
+Mfalme wa Amani
Nk.
Sasa katika Zama za Agano Jipya, Mungu alikuja kuzungumza na watu wake, hivyo akaamua auvae mwili wa Binadamu (Kama alivyofanya katika Kitabu cha Mwanzo Sura ya 18 alipomtembekea IBRAHIMU kumweleza Kilio cha Sodoma na Gomora)
Katika Agano Jipya Mungu alishuka katika Mwili wa Binadamu aliyeitwa Yesu Kristo Muisraeli.
Na alijitambulisha kwa majina ya
+Alfa na Omega
+Mwanzo na Mwisho
+Neno
Nk.
Na alipouvaa Mwili wa Binadamu Yesu, Binadamu huyo alijitambulisha Kwetu kwa Jina la .
Mwana wa Mungu.
Kwa Zama hizi Mungu huyohuyo Mmoja anajitambulisha kwetu kwa Jina la
+Roho Mtakatifu.
NB.
Kama utamwangalia Mungu Kama Mungu utaelewa nilivyojaribu kukueleza.
Lakini Kama utamwona Mungu Kama Binadamu itabidi uendelee kujifunza tena.
Rudia tena kusoma taratibu ili upate kuelewa.
Kumbuka yale Majina 99.
Yote ni Ya Mungu mmoja.
Asante kwa kuuliza kwa busara SanaJe YESU ndiye yule yule MUNGU BABA?
Na Je YESU ndiye huyohuyo ROHO MTAKATIFU?
Asante kwa kuuliza kwa busara Sana
Mimi hapo sitaki kusema sana.
Naomba nikupe Unabii wa Nabii Isaya kuhusu swali
hili
Nabii alitabiri hivi.
Isaya 9:6-7
" Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa,
Tumepewa mtoto mwanamume;
Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu,
Mungu mwenye nguvu,
Baba wa milele,
Mfalme wa amani.
Maongeo ya enzi yake na Amani
Hayatakuwa na Mwisho kamwe,
Katika kiti cha enzi cha Daudi na ufalme wake;
Kuuthibitisha na kuutegemeza
Kwa hukumu na haki,
Tangu sasa na hata milele.
Wivu wa BWANA wa majeshi ndio utakaotenda hayo. "
Hapo tunaona Nabii Isaya anavyo bashiri Kuzaliwa, Uweza, Sifa na Majukumu ya Mwanadamu Yesu atakaye zaliwa hapo baadae.
YESU KRISTO ni Mwanadamu Ambaye ndani yake kulikuwa na utimilifu kamili wa Mungu.
Kwakuwa Mungu ni ROHO hawezi kuonekana kwa Macho yetu.
Kumbuka siku ya kwanza Yesu kuruhusiwa kusoma andiko la Torati Sinagogini alisoma andiko linalomtambulisha katika Kitabu cha Isaya
linalosema
{(ROHO YA MUNGU i juu yangu)
amenituma ili niwafungue mataifa vifungo vyao.
Vipofu wapate kuona,
Viziwi wasikie
Viwete na watembee,
Habari njema itangazwe kwa mataifa yote}
Baadhi ya waumini na wazee wa Sinagogi walikasirika na kumburuta ili wakamtupe ktk bonde ikiwezekana afe kwakuwa alionekana ameyakufuru maandiko pale alipokiacha Kitabu na kuwaeleza kuwa andiko hili ndio limetimia kweke yeye. Yaani yeye ndiye Kristo Masihi.
Hivyo basi
MUNGU BABA hiyo ni moja ya Sifa ya Mungu ya uumbaji yaani yeye ndiye Mzazi wa viumbe vyote.
Kibaiolojia Mzazi ni Baba,
Ndiye mwenye Mbegu za Kike na Kiume.
ROHO MTAKATIFU Huo ni UWEPO wa Mungu.
Yaani Mungu ni
ROHO TAKATIFU
Sasa kwakuwa ROHO ya Mungu ni HAI na ndicho chanzo cha Uhai wa Kila kitu basi haiitwi tena ROHO TAKATIFU Bali
ROHO MTAKATIFU.
au ROHO YA MUNGU Kama anavyojitambulisha katika Kitabu cha
Mwanzo 1: 1
"Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi. Nayo nchi ulikuwa ukiwa, tena utupu, na Giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji;
Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji. "
{ NB}
Hayo maelezo ni jinsi nilivyoelewa Mimi. Tunasahihishana pia.
Usihofu na Majina
Kwa mfano
Nasikia Mungu wa Waislamu ana Majina 99.
Je Mungu wa Waislamu wapo 99 ?
Turudi Kwetu.
Hapo zamani Za Musa, Mungu ambaye Yupo katika Asili Ya Roho Ambaye haonekani kwa Macho, wakati Mwingine alitaka amwoneshe Mtumishi wake Musa Uwepo wake kwamba yupo.
Sasa atajioneshaje ?
Akijitokeza Katika Utukufu wake Musa atakufa.
Kwani Binadamu hawezi kuhimili Utukufu wake.
Kwakuwa yeye ni Mungu ikabidi auoneshe Uwepo wake kwa Musa ili amwamini kuwa yupo.
Hivyo akaamua wakati Mwingine ajionesha kwa umbo la Moto unaowaka Kama kule mlimani Sinai alipompa Amri Kumi.
Sehemu nyingine alijionesha Kama Nguzo ya Wingu mchana na Nguzo ya Moto usiku, pale alipowaongoza Waisraeli kuihama nchi ya Misri.
Zama hizo alijiita kwa majina Kama.
+Niko Ambaye Niko
+Baba wa MILELE
+Mfalme wa Amani
Nk.
Sasa katika Zama za Agano Jipya, Mungu alikuja kuzungumza na watu wake, hivyo akaamua auvae mwili wa Binadamu (Kama alivyofanya katika Kitabu cha Mwanzo Sura ya 18 alipomtembekea IBRAHIMU kumweleza Kilio cha Sodoma na Gomora)
Katika Agano Jipya Mungu alishuka katika Mwili wa Binadamu aliyeitwa Yesu Kristo Muisraeli.
Na alijitambulisha kwa majina ya
+Alfa na Omega
+Mwanzo na Mwisho
+Neno
Nk.
Na alipouvaa Mwili wa Binadamu Yesu, Binadamu huyo alijitambulisha Kwetu kwa Jina la .
Mwana wa Mungu.
Kwa Zama hizi Mungu huyohuyo Mmoja anajitambulisha kwetu kwa Jina la
+Roho Mtakatifu.
NB.
Kama utamwangalia Mungu Kama Mungu utaelewa nilivyojaribu kukueleza.
Lakini Kama utamwona Mungu Kama Binadamu itabidi uendelee kujifunza tena.
Rudia tena kusoma taratibu ili upate kuelewa.
Kumbuka yale Majina 99.
Yote ni Ya Mungu mmoja.
Yesu ni Mwanadamu Kama wewe kwa kuwa wote mna Mwili wa nyama.Asante kwa maelezo marefu lakini
JE YESU ndiye MUNGU BABA?
na JE YESU ndiye Roho Mtakatifu?
Kuhusu Yesu kuwa binadamu hilo nakubaliana na wewe mia kwa miaYesu ni Mwanadamu Kama wewe kwa kuwa wote mna Mwili wa nyama.
Ila yeye Yesu alikuwa na
Mungu Baba au
Roho Mtakatifu
ndani yake.
Kama yule Binadamu aliyemtembelea IBRAHIMU ktk Mwanzo 18.
Na IBRAHIMU akamtambua kuwa ni Mungu.
Mungu Baba au
Roho Mtakatifu
sio Binadamu.
Hana Mwili wa nyama kama Yesu, ila anaweza kujibadili ktk umbile lolote analotaka yeye.
Yeye ni Roho Takatifu.
Soma tena hapo Isaya 9:6
.
Pata ya audio kama ipo ok kwako : https://branham.org/en/MessageAudioWeka linki mkuu Niki download
Ukimfuatilia kwa umakini mkubwa huyu Melchizedeck ni Mungu mwenyezi(baba). Huyu sasa ni mfalme na kwamba sii Prince(mwana).Habari za masiku wanajukwaa wote, leo ningependa tujadili watu mysterious kwenye vitabu vyetu vya dini kama ilivyo kawaida yetu. Hivyo twendeni pamoja ili tusolve mystery hii, kubwa ya yote tuongeze tu maarifa na kujibu maswali ambayo yameonekana magumu kwenye vitabu hivi.
Niweke rai mapema pamoja na kwamba inaongelea mtu wa kwenye imani zetu ila mada hii isijengwe kidini yaani kukashifiana bali ijikite kwenye mrengo wa kuelemishana. Karibuni
UTANGULIZI
Melchizidek anaongelewa kwa mara ya kwanza ndani ya Biblia kwenye kitabu cha mwanzo 14:18 ambapo baada ya Abraham kutokea vitani alikutana na Mfalme wa eneo la Salem (Jerusalem ya leo) ambapo alimbariki na Adam alimpa kikumi cha kila alichokuwa nacho wakati huo.
Kwahiyo kitabu cha mwanzo kinamueleza kama MFALME WA SALEM na kuhani wa Mungu YAHWEH
View attachment 1176929
AGANO JIPYA
Upande wa agano Jipya Melchizedek anaelezwa kuwa ana uhusiano ma Yesu.
Waebrania 5
6 kama asemavyo mahali pengine,Ndiwe kuhani milele Kwa mfano wa Melkizedeki
Zaburi 110:4, Waebrania 5:10,6:20 zote zinaeleza kuwa Yesu ni kuhani kwa mfuatano na huyu melchizedek. Ikumbukwe Makuhani wengi wamepita hapo kati na Yesu ametokea kwenye uzao wa Abraham sasa iweje afananishwe na melchizedek na sio kuhani yeyote yule??
Je huyu melchizedek ni nani hasa?
UTATA ZAIDI
Utata zaidi unaibuka pale ambapo muandishi wa kitabu cha waebrania (ambaye mpaka leo hafahamiki ni nani) anaandika haya
Waebrania 7
3 hana baba, hana mama, hana wazazi, hana mwanzo wa siku zake, wala mwisho wa uhai wake, bali amefananishwa na Mwana wa Mungu); huyo adumu kuhani milele.
Tunaambiwa huyu ''Jembe'' hakuwa na baba wala mama na anaishi milele hata sasa???
Ukisoma sura yote inamsifia mtu huyu wa ajabu (mysterious) na kusema licha ya ukuu wa Abraham kama Baba wa wayahudi ila haoni ndani kwa huyu Melchizedek!!
Book of Enoch
Muandishi wa kitabu hiki anajaribu kutupa mwanga kidogo kuhusu utata huu. Ukisoma Enoch 2 sura ya 71 inaeleza kuwa Kuhani Nir (Kaka yake Nuhu) alikuwa na mke ambaye hakulala naye toka alipoteuliwa na Mungu kuwa kuhani. Siku moja anagundua mke wake ana mimba, hivyo ukazuka ugomvi mkubwa mwishowe yule mama akapata presha akaanguka akafa, sasa cha ajabu walipotaka kuizika maiti haraka haraka ''kuua soo'' Wakashangaa mtoto ametoka tayari!!!. Yaani maiti imezaa!!!
Hivyo ikawa concluded kuwa kazaliwa bila baba wala mama.
Ikumbukwe alizaliwa kabla ya gharika, hivyo ili unabii utimie kuwa atakuwa kuhani wa makuhani wote ikabidi Malaika Gabriel amchukue na kumficha bustani ya Eden hivyo akapona gharika na akarudishwa baada ya gharika kupita.
HITIMISHO
Katika pekua pekua zangu sijakutana kabisa na maandiko yeyote kwenye biblia na pseudepigrapha (vilivyoachwa) ambacho kinagusia mwisho wake zaidi vyote vinasema anaishi milele ingawa havisemi wapi ama lini aliacha kuwa mfalme wa Salem.
Sasa wajuvi wa Historia na Dini mtusaidie je mtu huyu alikua nani hasa??
Pia kma alikuwa mkuu kuliko Abraham na amefananishwa na Yesu kwanini hajaongelewa sana kwenye Bible??
Je historia yake ni ipi??
Je mwisho wake ni upi hapa duniani? Au bado anaishi na sisi kwa sura tofauti?
Karibuni....
mtatuua jamani1.Mkuu maandiko yanasema Yesu alikuwa.na Mama , lakini Melkizedeki hakuwa na mama sasa vip wawe sawa ?
2. Vilevile maandiko yanasema " amefananishwa na mwana wa Mungu ", lakini Yesu alikuwa mwana wa Mungu kamili , sasa vip wawe sawa ?
Rejea mstari wa 3:
Yesu hakuwa na mama yeye mwenyewe alikataa alipoambiwa anatafutwa na wazazi wakeYesu alikuwa na Mama na alizaliwa kwa hiyo hawezi kuwa Melkizedeki maana kwa mujibu wa maandiko Melkizedeki hana mama.
Yesu hakuwa na mama yeye mwenyewe alikataa alipoambiwa anatafutwa na wazazi wake
Iko HiviYesu hakuwa na mama yeye mwenyewe alikataa alipoambiwa anatafutwa na wazazi wake