Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,748
- 14,958
Hatari broo.. michirizi michirizi flan hiviii...inasambaa kwanye tackle... ukiwa umemuinamisha hivi.. unaona kbs zile webs....... contour lines aweehπ«‘π«‘π«‘
Hiyo huwa ni baraaaa nasemaaa baraaaa na nusuuu wacha kabisaaa wanakuwa watamu kinomaaa
Wadada waridhike na Rangi zao za Asili.Hayo mambo ya Kujipodoa podoa mpaka kuharibu USO sio inshu.....Sikuhizi kila mdada anajifanya ngozi yake natural,sasa nenda mtembelee ghafla mida ya saa nne usiku,utakuta meza imejaa machupa kama nane ya vipodozi,na uso wote mweupe kwa mixer utadhani kapaka majivu...
Yaaah acha kuremba mwandiko huyo ni MWEUSI hakuna chocolate colour hapoHuyu ni rafiki yangu mwenye rangi yake asilia
Naunga mkono hoja Enjoy Black Beauty: Did You Know They Are Two Types?!. Black Inside Out & Black Out, Inside Red!.Napenda wadada wenye hii rangi jamani kwanza they're naturally beautiful, wakiwa warembo ni warembo haswaaaπβ€οΈ.
Huyu ni rafiki yangu mwenye rangi yake asilia yaani rangi ya kiafrika.
View attachment 2576552
Ameji postAmekuruhusu upost picha yake huku?
What's between them legs is what matters, nikitaka rangirangi za kuburudisha macho na akili naenda zangu Kitulo huko
lala kijanaAisee,
Nilisahau huu uzi upo, natia kambi
Cute WifeHamfikii to yeye
Me, Ke or gender fluidHaswaa, waelewe nawapenda