Meja Jenerali Gaguti amechangia hotuba ya CDF Mkunda kuhusu wakimbizi kuteuliwa Serikalini?

SAMWELI MAHIRANE ni KAMISHNA wa UHAMIAJI anayeshughulikia UDHIBITI wa MIPAKA. Ni mzaliwa wa kijiji cha NYARUONGA, wilayani KIBONDO ambapo ni MPAKANI mwa BURUNDI. Mengine, nadhani MMEMSIKIA wenyewe CDF View attachment 2881050

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unataka kusema nini? Kwamba ukiwa mzaliwa wa kibondo automatically wewe ni wa nchi jirani? Tusipokuwa makini tuta wa victimize watu simply kwa wivu au chuki.
nadhani hata kaka yetu CDF ile Kauli yake hakuipima vizuri. Ingebidi afanye utafiti na watu wanyofolewe kimyakimya. Lakini kwa alichofanya, usishangae watu kuwa victims tuu kwa sababu ya urefu wa pua zao au vijiji wanavyotoka. unadhani Hitler alifanya nini kwa wayahudi?

kwa mikoa ya pembezoni muingiliano ni lazima. kwa kuolewa, kuoa nk. tunahitaji umakini sana kabla ya kuandika sensitional stories kama hizi.

watu wa mipakani wanapitia dhahama nyingi sana nchi hii. Sijui Kama unalijua hili.

in all, nadhani serikali inafanya vetting ya nani ni nani kabla ya kuteua.
 
Hili tatizo lililotengenezwa na kikundi cha Wahuni wachache Berlin 1884/85, litatusumbua hadi mwisho wa dunia kama upo.
 
Mkuu unataka kusema nini? Kwamba ukiwa mzaliwa wa kibondo automatically wewe ni wa nchi jirani? Tusipokuwa makini tuta wa victimize watu simply kwa wivu au chuki.
nadhani hata kaka yetu CDF ile Kauli yake hakuipima vizuri. Ingebidi afanye utafiti na watu wanyofolewe kimyakimya. Lakini kwa alichofanya, usishangae watu kuwa victims tuu kwa sababu ya urefu wa pua zao au vijiji wanavyotoka. unadhani Hitler alifanya nini kwa wayahudi?

kwa mikoa ya pembezoni muingiliano ni lazima. kwa kuolewa, kuoa nk. tunahitaji umakini sana kabla ya kuandika sensitional stories kama hizi.

watu wa mipakani wanapitia dhahama nyingi sana nchi hii. Sijui Kama unalijua hili.

in all, nadhani serikali inafanya vetting ya nani ni nani kabla ya kuteua.
Unadhani hata kwenye mikataba ya madini, gesi na rasilimali nyingine; na kuhamisha wamasai Ngorongoro etc pia kuna scrutiny/vetting or kitu kama hicho kinafanyika? Duniani hakuna sehemu yenye makazi salama ya rushwa kama Tanzania.
 
Kama washakua raia by naturalization hakuna tija kuendelea kubring up ukimbizi wao kila dakika. Hao ni raia na wana haki zote kama watanzania wengine.

From my understanding, ni Rais na VP tu ndo lazima wawe watanzania kwa kuzaliwa ila nafasi zingine zote so long as ni mtanzania hata by naturalization inakubalika.

CDF kapuyanga kutoa hiyo statement.
Rudini kwenu
 
Unadhani hata kwenye mikataba ya madini, gesi na rasilimali nyingine; na kuhamisha wamasai Ngorongoro etc pia kuna scrutiny/vetting or kitu kama hicho kinafanyika? Duniani hakuna sehemu yenye makazi salama ya rushwa kama Tanzania.
Ujafika Haiti na Honduras wewe
 
Mkuu unataka kusema nini? Kwamba ukiwa mzaliwa wa kibondo automatically wewe ni wa nchi jirani? Tusipokuwa makini tuta wa victimize watu simply kwa wivu au chuki.
nadhani hata kaka yetu CDF ile Kauli yake hakuipima vizuri. Ingebidi afanye utafiti na watu wanyofolewe kimyakimya. Lakini kwa alichofanya, usishangae watu kuwa victims tuu kwa sababu ya urefu wa pua zao au vijiji wanavyotoka. unadhani Hitler alifanya nini kwa wayahudi?

kwa mikoa ya pembezoni muingiliano ni lazima. kwa kuolewa, kuoa nk. tunahitaji umakini sana kabla ya kuandika sensitional stories kama hizi.

watu wa mipakani wanapitia dhahama nyingi sana nchi hii. Sijui Kama unalijua hili.

in all, nadhani serikali inafanya vetting ya nani ni nani kabla ya kuteua.
👍👌👏🙏🔊🆒
 
Back
Top Bottom