Meja Jenerali Benjamin Noah Msuya


Achana na wanyarwanda. Kila saa wanyarwanda shida yako Nini?
 
Jenerali Museveni atoboa siri nzito za Vita ya Kagera 1978

View: https://m.youtube.com/watch?v=95uK8Fnz-rc
Tanzania iliunda Brigedi 7 zikiambaa katika mfumo wa divisheni 2, task force

Kitete
Kimario - 205
Kombe -201
Makunda - Minziro
Marwa - 208
Mayunga - Task Force div
Musuguri - Div 20
Ramadhani
Walden - 207
Tito Okello - Tabora
Usalama wa Taifa NRA Uganda
Major Joseph Butiku msaidizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…