Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 98,259 Reaction score 144,348 Jan 3, 2017 #1 Habari ndo hiyo....ime break sasa hivi. More to come.....
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,669 Jan 3, 2017 #2 NBC ni pro democrats?
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 98,259 Reaction score 144,348 Jan 3, 2017 Thread starter #3 The Boss said: NBC ni pro democrats? Click to expand... Yup...ila mwaka huu wamepikuliwa na CNN. Ila basically karibu mainstream media yote ya US ni liberals/ pro Democrats...
The Boss said: NBC ni pro democrats? Click to expand... Yup...ila mwaka huu wamepikuliwa na CNN. Ila basically karibu mainstream media yote ya US ni liberals/ pro Democrats...
Iceman 3D JF-Expert Member Joined Sep 3, 2016 Posts 20,611 Reaction score 67,118 Jan 3, 2017 #4 Aaah Nilikuwa namuona tu, yule hakuwa material ya Fox Kama kwenye uchaguzi nilikuwa nikiangalia the kelly file naona kabsa ni material ya Liberal news media na si Fox Bora ende huko, good riddance
Aaah Nilikuwa namuona tu, yule hakuwa material ya Fox Kama kwenye uchaguzi nilikuwa nikiangalia the kelly file naona kabsa ni material ya Liberal news media na si Fox Bora ende huko, good riddance
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 73,317 Reaction score 103,571 Jan 4, 2017 #5 Mshahara wake sasa 20mil usd kwa mwaka ila kakataa
HELA JF-Expert Member Joined May 10, 2015 Posts 200 Reaction score 192 Jan 4, 2017 #6 CNN kungemfaa zaidi.. Hawezi kumsahau Trump
Mbimbinho JF-Expert Member Joined Aug 1, 2009 Posts 8,328 Reaction score 7,807 Jan 5, 2017 #7 Samahani, ndo nani huyu? ana undugu na D. Trump?
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 73,317 Reaction score 103,571 Jan 5, 2017 #8 Hapana