Medicine vs Pharmacy

Kwan m2 mweny degree 1 ya medicine na pharmacy wanapokea sh ngap kwa mwez as take hm kila mmoja kama ameajiriw serikalin ???
 
Nikweli policy zin
abadilika as the time goes lkn kazi fulani ,ile kazi bado itaendelea kuhusu mhusika ,na hili laweza kula kwa yeyeto p'cist au doctor na kadri mnavyoongezeka na challenge zinaongezeka pia rate ya kuongezeka ni kubwa kwa pande zote mbili mfano mds udahili sshivi ni takiribani1000 ukiacha mwk huu gvt ilikuwa inajiri less than 500. Na private sector yetu haiwezi kuajiri wote wanaobaki kwa miaka mingi hata kwa. Pharmacy ni vilele japo udahili bado ni mdogo less than 200 lkn nafadi zao kwa nchi yetu siyo nyingi sana japo wanauwanja mpana wa ajira sehemu mbalimbali tofauti na mds. Upande wa kutumika fani zote tz bado hata mds, engineer bado hazitumiki sawasawa hata tooth pick sembuse dawa! Nafikiri hii ni sera ya nchi,kama nchi ikiamua kuwekeza ktk sector hiyo p'cist watatumika ipasavyo. Md mfn nikama specialist wanavyopelekwa kwenye hosp isiyo na vifaa.
 
Mbona hamnijlbu swal langu mweny bachelor ya pharmacy na MD wanalpwa kias gan kam umeajrliw na serikal as take home
 
Mbona hamnijlbu swal langu mweny bachelor ya pharmacy na MD wanalpwa kias gan kam umeajrliw na serikal as take home

Haina haja make mishahara inabadilika kila kukicha cha msingi we jua tu tofauti siyo kubwa md yuko juu kwani nimiaka mitano vs miaka minne ya mfamasia
 
Akili kichwani somen kwa malengo "!! Mkibisha MD sijui pharmacy mtakufa kwa stress!!! Miaka mitano / minne unasoma bila ela dah!!! Afu unajisifu Niko MD sijui pharmacy!!

Mi nlipiga dip radiography nikaunga bachelor Uganda!! 2 years now salary private zaid ya 1.5mls hapo sijapiga part time!! Na ma special exam ( barium meal+ hsg+ enema etc) maisha yanaenda town!!!nyie mnawaza MD +pharmacy ahaaaaaa tupa kuleee
 
Heshima pesa... Na famasi inapesa na mpka sahv nchi yetu ina wafamasia 1500 tu hvyo fursa zipo uucchhii na si lazma kuajiriwa wala kujiajir u can sleep at ur home place ukaingiza pesa zaid ya daktari anaeshinda na kulala wodin... Think big mkuu
Huwez kuendelea kwa kutegemea huruma za wagonjwa unaowatibu
 
Pharmacy is for pharmacist...
Vyooote vitabadilishwa ktk scope of practice ya pharmaceutical personnel lkn haitakuja kutokea daktar kupractice pharmacy...
This is world specification sio Tanzania tu...
Kuhusu kutundika chet ni kusimamia kwa masaa yasiopungua mawili kwa siku...
Hakuna kitu kinaitwa kutundika chet kwenye pharmacy act ila kuna kusimamia hvyo unavyoclaim kutundika bear in mind kuwa hicho kitu hakipo kisheria
 
You are very Cheap!
 
Kama unataka Pesa Nyingi Kwanini Usiuze Unga (Drug Lord) au Ukaingia Kwenye Sekta ya Madini?
 
Hata sasa zinaendelea kubadilishwa but in favour of pharmacist ndio maana manesi wanaelekea kuzuiwa kuuza pharmacy
MD are masters of the game. Pharmacists wenyewe hata hawajiamini wameanza kutengeneza tena kozi mpya, Pharm D ( Doctor of Pharmacy ) !!
 
Unatia AIBU! are you a graduate?
 
MD are masters of the game. Pharmacists wenyewe hata hawajiamini wameanza kutengeneza tena kozi mpya, Pharm D ( Doctor of Pharmacy ) !!
Master of shit!!! Master kwa manesi ambao hawana la kufanya bila uwepo wenu lkn sio master of pharmacist...
Kujiamin au kutokujiamin ni individual factor huwez kugeneralize maana hata mm nmekutana na MD wasiojaiman lkn siwez kusema MD wote hawajiamin...
Pharmacy iko vr diverse kaz za pharmacist haianzii hospitali na wala haiaiishii hospitali kuanzishwa kwa pharm D ni ili apatikane mfamasia ktk ngaz ya bachelor anayedili na mambo ya clinical tuuu with shallow knowledge kwenye aspect nyingne sasa endelea kujilinganisha na mfamasia wakat wewe nje ya hospitali huna la maana zaid ya illegal abortion...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…