Kwa hatua ambazo msajili wa pharmacy council ameanza kuchukua,pharmacy ni bora kuliko maabara.
Mwanzo hawa wafamasia waliruhusu ujinga ujinga mwingi eti kila mtu anaweza kuwa mfamasia ili tu wake zao,na mahausi girl wao waruhudiwe kuuza dawa.
Wanavisingizio vingi sana eti dawa ni huduma muhimu na zinahitajika,na wao ni wachache kwa hiyo kila MTU anaweza tu kuruhusiwa kuuza ili mradi afuate sheria.Swali likawa anawezaje kufuata sheria wakati hajui?