gabrielkashasha
Member
- Oct 3, 2015
- 53
- 0
vp anaejua medicala lab kama ina lipa na ajira za faster tujadil
Ni taaluma nzuri ila inataka wito maana utajenga urafiki na lab samples ambazo zinatia kinyaa sana
Ajira ni directly ukitoka shule.Basic salary yao ni 980,000/= kwa sasa ila inaongezeka with time unapokuwa kazini
Hiyo ni scale ya degree...Chini ya hapo watatujuza wengine