Hizo ndio sarakasi za watanzania. Kuna makosa yalitendeka katika kutengeneza mitaala iliwa ni pamoja na kutohusisha baraza husika. Lakini makosa hayo hayakuwa makubwa kiasi cha wao kushindwa kuyatatua, lakini kulikuwa na kulinda ajira la kundi fulani matokeo yake hawa wa SUA etc wakatemwa kutoka lab za afya. Sina hakika kama wamesha limaliza hilo. Sasa baada ya waziri kulizungumzia sioni kwa nini lisifikie mwisho (na vijana wapate ajira) kwani hasara ni kwa Tanzania.Hii battle ilikuepo sana miaka ya nyuma speech ya wazili wa afya juzi kaja kuliibua tena baada ya kusema taifa lina upungufu wa wataalam wa *biotechnology and laboratory science* ( hawa wanatoka pale SUA kila mwaka) na wataalam wa molecular biology ( wanazalishwa pale UDSM) Raia wanadai wizala ya afya haiwatambui.. Hawa wanadai kazi zao zinamezwa na hawa MEDICAL LAB..( BMLS) wanaotolewa kila mwaka pale... 1. MUHAS 2. CUHAS( bugando) 3. KCMC.. 4. KAMPALA ( KIU).. Na hawa Ndio wanaotambuliwa na wizala ya afya..
Kweli kabisa.. maana kozi nyingi kama hizo zimeanzishwa na kuwekewa admission capacity kubwa wakati vijana wengine wapo mtaani kwa kozi hiyo hiyo wanahangaika na ajiraNafikili course nyingine zianzishwe kwa kuzingatia demand ya nchi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ndo tatzo ya wataalam wanaozalishwa bongo Mimi nafaham mataifa ya wenzetu watalaam wa biotechnology & microbiology & molecular biology Wana demand kubwa sana kuliko bongo labda bongo Mambo takee kubadilika baadae sana
Tatizo bongo hatuna maabara nyingi za utafiti na ugunduzi wala utengenezaji.Hiyo ndo tatzo ya wataalam wanaozalishwa bongo Mimi nafaham mataifa ya wenzetu watalaam wa biotechnology & microbiology & molecular biology Wana demand kubwa sana kuliko bongo labda bongo Mambo takee kubadilika baadae sana