Mirlz B Matthew
JF-Expert Member
- Oct 10, 2011
- 2,212
- 3,085
Nimekuwa mfuasi wa media za kibongo hususani T.V&Redio kwa kipindi cha miaka mingi nahisi tokea napata ufahamu wangu lakini kinachonishangaza sasa hivi ni media hamna cha maana labda uangalie habari tena ya ITV au ya BBC na kwenye redio napo ni utumbo tu kuchekacheka,kuigana,tasnia ya media imegeuka uwanja wa vichekesho...
Vipindi vyao havina msisimko....tafuteni watu wenye vipaji na mfuate taaluma yenu inahitaji nini na sio kulazimisha wachekeshaji kuwa watangazaji....
Na sio kuanzisha vituo vipya wakati mlivo navyo mnashindwa kuvimudu...Asante nawasilisha hoja