HELA
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 200
- 192
Hahahahaha....acha kuangalia CNN.TRUMP Alishanunuliwa na Russians, ana deni nao, ni suala la muda tu kila kitu kitakuwa wazi. Hakuna mwanasiasa asiye na bei, Huyu jamaa pia ni hater sana na hakubali kukosolewa hata kama amekosea, ana akili za kitoto kwamba yeye ndio yuko sahihi kwa kila kitu, ukimkosoa unageuka kuwa adui yake.
Trump kapigiwa kura na watu wavijijini ambao hawajui hata wikileaks ndiyo kitu gani
Wachambuzi wote wasiasa walipotea....
Wewe nahisi utakuwa ni mmoja wao
Sent using Jamii Forums mobile app