donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Napendaga sana hizi event aisee mbali ya kuuburudisha mwili pia ni source nzuri ya kupata pisi kali [emoji2][emoji2][emoji2][emoji685]
View attachment 1865898
HaifungukiVp mkuu
Unazuliza ng'weeee nini wakati hujaweka picha badoVp mkuu
Hii hapa mkuuHaifunguki
Tulia basi mkuu Ally KifiloUnazuliza ng'weeee nini wakati hujaweka picha bado
Chenga kweli we mwemba.. mshaonaga kutukana ndio ujanja..Tulia basi mkuu Ally Kifilo
Nimetukana wapi hapo mkuu?Chenga kweli we mwemba.. mshaonaga kutukana ndio ujanja..
Soma comments yako hadi mwisho. Acheni hizo uhuni sio kutukana watuNimetukana wapi hapo mkuu?
Sijatukana mkuuSoma comments yako hadi mwisho. Acheni hizo uhuni sio kutukana watu