johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 94,165
- 164,627
Naomba unipe mfano wa vijana unaodhani sasa ndio wakati wao wa kupewa madaraka.Je ni HAWA uvccm na bavicha au ni WALE vijana "wazazi" kutoka jumuiya ile ya kina le mutuz?Nisaidie hapo maana mi naona vijana wa Tz ni bora hata nyie wazee walau mna maadili.