Nawahurumia sana mashabiki wa timu itakayofungwa hiyo kesho
Tatizo linakuja wakati wa kurudi dar
Yaani umbali unakuwa unauona mara mbili zaidi
hapo taifa tu kuitafuta kigamboni napaona kama Arusha nikifungwa
sembuse kigoma
Ni Bora sisi wa kwenye tv nikifungwa nazma nalala