Dola Iddy Wa Chelsea
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 2,120
- 1,510
Jumanne wiki ijayo baada ya kutoka kwenye mechi dhidi ya kagera sugar ,
Simba sports club itacheza mechi ya kirafiki na timu ya USHIROMBO RANGERS katika uwanja wa kilimahewa,
Sasa wana Yanga hebu pendekezeni tuwapige goli ngapi hawa majirani zenu wa Matopeni manake tupo vizuri hatuna masihara tunashiriki ligi daraja la 3 mkoa,
Natumaini kitakachowapata simba wakirudi dar watasimulia kuwa USHIROMBO RANGERS FC ni shidaa!.