mechi ya kilimanjaro kesho imearishwa;watanzania msikimbilie uwanja wa taifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mechi ya kilimanjaro kesho imearishwa;watanzania msikimbilie uwanja wa taifa

Discussion in 'Sports' started by Pdidy, Nov 28, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  kuna taarifa mechi ya stars ya kesho imearishwa kwa sababu zilizo nje ya uwezo wa TFF
  BINAFSI HATA WANGEENDA KUXCHEZA NASHAURI WATANZANIA MSIKIMBILIE KABISA KUANGALIA WALE WAVUTA BANGI WAKIONGOZWA NA JULIO..NI AIBU KWELI KWELI TENGA HATA UWEKE SH 500 KIINGILIO WATANZANIA WAMEAMUA KUICHOKA KILIMANJARO YENU ..AIBU ZAIDI MNATAKA WAZAWA ALAFU TUNAWAKUTA WAKINA POULSEN KWENYE MAZOEZI HII SI AIBU JAMANI MNANGANGANIA MSICHOKIWEZA MNAISHIA NA POROJO Z KINA JULIO KWENYE MAREDIO
   
 2. dwight

  dwight JF-Expert Member

  #2
  Nov 28, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 437
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mie sijaichoka naipenda sana!
   
 3. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #3
  Nov 29, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  ungemaliza kwanza kufanya hiyo haja ndogo ndio upost humu...
   
Loading...