Mechi Saba Dirisha Dogo?

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
Huenda TFF ikaongeza dirisha lingine dogo kwani kwa mechi saba tu hizi tayari wanatangaza usajili kupitia dirisha dogo sidhani kama kwelli timu ziko kwenye nafasi nzuri ya kutathmni mapengo. Nilidhani dirisha dogo hufanywa baada ya round ya kwanza kumalizika lakini hii ya safari hii huenda kweli kukawa na dirisha dogo lingine kwani naamini lazima kuna shinikizo la timu kubwa.
 

hapana!!..kuna michuano ya chalenji hivyo ligi itasimama kwa muda mrefu ndio maana likawekwa na dirisha dogo hapohapo kwene chalenji.
 

tunafata mfumo wa dunia mkuu hata kama kungekuwa imechezwa mechi moja...lol
 
hapana!!..kuna michuano ya chalenji hivyo ligi itasimama kwa muda mrefu ndio maana likawekwa na dirisha dogo hapohapo kwene chalenji.
asante Wambura B
 
asante Wambura B

teh,teh,teeeh..mimi hata simjui huo wambura!!..ila nasikia michuano yenyewe ya chalenji haipo,sasa tusubirie kama dirisha litaendelea au nalo litabadilishwa.
 

Kwa nini pia ligi inasimama muda mrefu hivyo?Ndo mwanzo wa ndondo.EPL mbona huw haisimami?
 
teh,teh,teeeh..mimi hata simjui huo wambura!!..ila nasikia michuano yenyewe ya chalenji haipo,sasa tusubirie kama dirisha litaendelea au nalo litabadilishwa.
kidogo mmefanana
 
Kwa nini pia ligi inasimama muda mrefu hivyo?Ndo mwanzo wa ndondo.EPL mbona huw haisimami?

Mkuu, hii ni tabia mbaya sana na ya kitumwa, kudhani kuwa jambo linakuwa bora kama akina fulani tu ndio wakilifanya. Tukosoe mifumo yetu kwa hoja za ubora na madhaifu, sio kwa kuwa EPL au popote duniani wanafanya au hawafanyi namna hiyo...
 
Kwa nini pia ligi inasimama muda mrefu hivyo?Ndo mwanzo wa ndondo.EPL mbona huw haisimami?
Mkuu huko kunako fanyika EPL ni Duniani, usifananishe na Tanzania. Tanzania, Duniani hatupo akhera hatupo. Tupo ktk sayari ya Jupiter.
 
mkuu huko kunako fanyika epl ni duniani, usifananishe na tanzania. Tanzania, duniani hatupo akhera hatupo. Tupo ktk sayari ya jupiter.
sawa na umbali wa anga na ardhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…