Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,154
- 13,267
Huenda TFF ikaongeza dirisha lingine dogo kwani kwa mechi saba tu hizi tayari wanatangaza usajili kupitia dirisha dogo sidhani kama kwelli timu ziko kwenye nafasi nzuri ya kutathmni mapengo. Nilidhani dirisha dogo hufanywa baada ya round ya kwanza kumalizika lakini hii ya safari hii huenda kweli kukawa na dirisha dogo lingine kwani naamini lazima kuna shinikizo la timu kubwa.