Mkodoleaji
JF-Expert Member
- Apr 27, 2008
- 458
- 138
Tupe na reserve list!
Jamani tumechoka na hayo malumbano ya CCM kila siku, hawafanyi kazi wamebaki scheming tu. Kila mtu anamvizia mwenzie aseme nini:
???????
Mpwa unafanya nini huku? Sorry, off point kidogo.
bora mimi huku huwa siangalii kabisa!😀
Tupe na makocha pia ,kwani timu aiwezi kucheza bila kocha kutoa maelekezo sahihi. sio ...... ???Tupe na reserve list!
[QUOTE=Nguli;645644]Samahani niliona kichwa cha habari mechi! Mechi! Nikajua ni mambo yetu labda mechi za mchangani kumbe sihasa then jamaa mwenyewe anajichanga watu wamechoka sihasa za chichimu hapox2 anaongelea hio tamthilia ya UFISADI watu wamechanganyikiwa bora sisi wa maloveee