Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,879
- 10,100
Wakuu hii mechi nilikuwa naisuburi kwa ham sana.Kwa sie wadau wa michezo.
Lakini Umuhim wa mechi na hali halisi naona haviendani kabisaa.
Maana majuzi tu tumeowaona Real Madrid wakicheza na Machenster.
Nionavyo mie na mapunguf ni kama ifuatavyo:-
-Jina la timu ya Tanzania
Hivi inakuwaje watu waite timu ya Tanzania kwamba TANZANIA ELEVEN,ndio nini hasa ki mantic,Yaani Real Madrid Veteran wakicheza na Tanzania Eleven,TFF mjipange,matukio mengine hayarudii kwa miongo kadhaaa.Hata huku Mchangani watu wanajipanga kwenye majina.
-Ushiriki wa Wazanzibar kwenye Timu
Wameitwa watu wawili tu,mambo mengine haya ya kero za muungano tunayataka wenyewe kwa makusudi.
Hivi hili nalo linahitaji serikali iunde kamati Dodoma ili watu wale Posho?Huu upuuzi kabisa
-Mashabiki wachache uwanjani
Juzi tumeshuhudia kati ya Real Madrid na Manchester,uwanja ulikuwa hauna pa kukanyaga kwa jinsi ulivyojaa.Na vyombo vya habari duniani vinafuatilia tukio la Ziara ya Real Madrid yote.
Sasa vyombo vyote vya wadau wa michezo duniani leo vinaangaza Tanzania ambapo ni fursa nzuri sana kwetu.Kiuchumi kwa ujumla.
Hivi tabia ya TFF kuona kwamba kila mechi watengeneze mamilioni ni tatizo,tuliona mechi iliyopita na The Mambas(Msumbuji),ambapo mashabiki kama wachezaji wa ziada mlikuwa kama hakuna,na The Mambas kwao walichofanya walijaza uwanja na kuitumia nafasi vizuri kwao mbele ya umati wa mashabiki.
Hii mechi TFF imepanga kiingilio cha 5,000 huku kiingilio cha juu kikiwa Sh 25,000 kwa VIP B. VIP C ni Sh 20,000 wakati viti vya bluu ni Sh15,000 na rangi ya chungwa Sh10,000.
Hili ni tatizo,yaani hata nchi nyingine Duniani ambapo bahati hii ziliitamani ila hazikupata nafasi,naamini hii chance wangepata Wakenya wangefanya vizuri sana.
Duniani wanatuona kwamba hivi hii nchi gani yaani timu kubwa na umuhim wa timu ile na matajiri wakubwa,maana Club Tajiri na wachezaji matajiri,lakini wanatushangaa kuona nchi yenyewe watu hawapendi mpira namna hii.Upenzi wa mpira kwa wananchi unaangliwa wingi wa watu uwanjani.Halafu mbele ya Raisi.Simba na yanga mziki unajaa,hata Simba na Mbeya City wanaujaza.
Ilitakiwa Kiingilio kiwe 2,000 tu na Orange isizidi 5,000.
-TBC
Asanteni sana kwa kutuletea Mpira Live,ila mgeomba msaada kwa AZAM Tv,maana ubora weni bado haujawa vizuri kabisa kwenye michezo ya mpira.
-AZAM TV two nao wapo live nakama kawaida yao ni mfumo wa Supersport ubora wa hali ya juu.
Pongezi:
Pongezi za dhati kwa Rais Kikwete kwa kutujali sie wadau wa wa mchezo wa mpira na wenye kujua umuhim wa ujio huu.