Mwajei: Dia nipo Kariakoo, kuna
jeans nimeiona nimeipenda
inauzwa efsalasin, ningenunua
sema wallet nmesahau, pls
nirushie tigopesa darling.
Beka: *150*01#...
TigoPesa: Umepokea Tsh 1000
toka kwa Beka.
Mwajei: Dia mbona buku tu?
Beka: Nauli, 500 kwenda home
kuchukua wallet, 500 kurudi kkoo
kuinunua. Vipi ni nyeusi?Maana
dia ukiwa kwenye nyeusi
unatokaga bomba sana, cant wait
to see u!!