Crispin sam
Member
- Oct 27, 2015
- 49
- 5
- Thread starter
-
- #41
Mm zote napendah kaka nd maana nikaomba ushauri ndg yang ......soma kitu unachokipenda.. usije kusoma kwa shinikizo la watu kisha ukaenda ku disco uko chuo.
Mkuu hao watu wengi mno niwawapi?.Kijana nikusaidie Tu. Ukitaka kufanikiwa katika profession take the road less traveled.
Hizo course mbili zote ni nzuri na soko la ajira siyo baya sana uzuri zote hizo unaweza uakjiajiri mwenyewe.
Kwa ushauri wangu mimi take the road less traveled ambayo kwa hapo ni Biomedical engineering hiyo nyingine inasomwa na watu wengi mno kiasi cha kuwa competitive kwenye soko la ajira.
Asante Mkuu, nadhani umemaliza. Zaidi ya hapa ni mtu kubisha kwa kutokuwa na ufahamu juu ya haya mambo, kwa sasa hizi course zinalipa.Kama unahitaji kusoma engineering soma hizi hapa chini.
Mechanical,Civil,Electrical.
Na ww upo mechanical mkuuu ?Karibu mechanical mkuu......ila siku zingine uache kulinganisha mechanical na vitu vya kipumbavu...😀😀😀😀
Crispin Sam mm nakutakia masomo mema pale dit usubr na wenzako
Katende jr
Kama hujui kitu ni bora kunyamaza kimyabiomedical ina soko halafu hutumii nguvu kama mechanical kushusha majini yenye oil
Mm napnd zote bestkijana utakuja kujuta na kujikuta mtumwa katika kazi unayofanya kama hautasoma kitu unachokipenda!
Mimi mwenyewe akili ndogo sijawahi kuona mtu kasoma Mechanical then analia njaa.Watu wanaiogopa mech kutokana na ugumu wake,ndio mana inasoma watu wachache.
Nashangaa unaposema mechanical nikushusha engine yenye oil nikikuuliza unitajie watu wanne unaowafahamu wamesoma mechanical engineering then wanashusha engine hutomtaja hata mmoja.
Nlipiga electrons & telecom eng kiongoziWw ulisoma kozi ipi kaka ?
Npe namb yako mkuu kuna mambo nataka nkuulze zaid kaka ...Nlipiga electrons & telecom eng kiongozi
Kwa uhandishi huu nna mashaka na u mechanical engineer wakowewe unaujua ukweliiii
mimi sitaki kuongea sana
lkn mechanical engineering unaweza kufanya kazi kwenye fields nyingi zaidi ya engineering yyte
i proud 2b a Mechanical engineer
Lewanga Jr
I like both bro datx y nkaomba ushaurListen to your heart and follow your dreams
Npe ushaur wako kaka ?!Kwa uhandishi huu nna mashaka na u mechanical engineer wako
Unapotaka kusoma biomedical engineering je:Npe ushaur wako kaka ?!
As long as zote mbili nazipendah now what matter ni kwenye upande wa soko la ajira ....Unapotaka kusoma biomedical engineering je:
-Unataka ukafanye kazi wapi?
-Je utajiendelezaje incase unataka kujiendeleza? je degree yake ipo tanzania? NA KAMA HAIPO UTAKUA NA UWEZO WA KUJIENDELEZA NJE au utaenda kusoma kozi ingine kwenye level ya degree??
NIJIBU HAYO MASWALI KWA UFASAHA ALAFU TUENDELEE.
NB: Jitahidi kuandika kwa ufasaha, hayo mambo ya x badala ya s na kuandika kifupi fupi acha!