Mechanical engineering vs biomedical engineering

wewe unaujua ukweliiii

mimi sitaki kuongea sana
lkn mechanical engineering unaweza kufanya kazi kwenye fields nyingi zaidi ya engineering yyte

i proud 2b a Mechanical engineer
Lewanga Jr
Na mm nmechaguliwa mechanical dit eb nijuze zaid ipoje ndugu yang
 
biomedical kweli ni nzuri ila mechanical ni nzuri zaidi ya fani nyingi za engineering ingawa sijazisoma hizo ila nazikubali kuna marafiki zangu nimemaliza nao arusha tech wakiwa wanasoma biomedical ila wa mechanical eng walipata ajira fasta sana
 
Ww ulisoma kozi ipi kaka ?
 
Jaman eb nifahamishen vzur jaman mnaofaham ???
Kijana nikusaidie Tu. Ukitaka kufanikiwa katika profession take the road less traveled.
Hizo course mbili zote ni nzuri na soko la ajira siyo baya sana uzuri zote hizo unaweza uakjiajiri mwenyewe.
Kwa ushauri wangu mimi take the road less traveled ambayo kwa hapo ni Biomedical engineering hiyo nyingine inasomwa na watu wengi mno kiasi cha kuwa competitive kwenye soko la ajira.
 
Ushauri mzuri pia. Tatizo la elimu yetu MTU anamaliza form six hajui anataka kuwa nani akianza kufanya application ndo anaanza kuangalia a some nini
 
Nashukuru bwn mzee
 
Usisome engineering kufikiria ajira ukianza kuwaza hivo kimbia haraka haikuhusu kabisa hioo taaluma
 
Mechanical engineering ipo poa iyo biomedical utaganda kama sanamu ya posta
 
Ushauri mzuri pia. Tatizo la elimu yetu MTU anamaliza form six hajui anataka kuwa nani akianza kufanya application ndo anaanza kuangalia a some nini
Ni tatizo mkuu mpaka kesho watu walipitia technical school au kuanza na certificate then diploma then degree wako njema sana site kuliko hawa freshers ambao mtu anaanza kusoma degree bila kujua lolote juu ya hio fani tena pengine kachaguliwa na ndugu jamaa na marafiki ni tatizo
 
Ushauri mzuri pia. Tatizo la elimu yetu MTU anamaliza form six hajui anataka kuwa nani akianza kufanya application ndo anaanza kuangalia a some nini
Nashukuru sana mkurugenz
 
Nashukuru sana mkurugenz
Penda sana kufanya vitu ambavyo wengi hawavifanyi kwa kuhofia ugumu au mchakato wa kuvifanya !
Usifanye jambo kwa shinikizo ka MTU fikiria , kaa chini jiulize we ni nani na unataka kuwa nani baadaye je unasifa za kufikia unachotaka kukifikia.
Take the road less traveled
 
Asante kaka.....
 
Saw mkuu ila ww umeshaul ip kat ya hzo mbili az long az mm zote nazpendah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…