Mimi mwenyewe akili ndogo sijawahi kuona mtu kasoma Mechanical then analia njaa.Watu wanaiogopa mech kutokana na ugumu wake,ndio mana inasoma watu wachache.
Nashangaa unaposema mechanical nikushusha engine yenye oil nikikuuliza unitajie watu wanne unaowafahamu wamesoma mechanical engineering then wanashusha engine hutomtaja hata mmoja.