Meatu woote tukatane hapa

MissM4C

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2012
Posts
1,741
Reaction score
1,006
Huu ni Uzi Maalumu kwa ajili ya wakazi wa MEATU au hata diaspora(waliozaliwa MEATU ila wanaishi nje!)

Tukutane hapa tushee Fursa, News etc
 
 
Mji wa mwanuzi ni mbuga za wanyama,makazi pale yamelazimishwa tu,anayebisha si mkazi wa mwanuzi.
 
Napakumbuka mwanhuzi kwa vumbi, jua Kali na tatizo la maji, mwandoya one.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…