Meanwhile in China ...

Kumbe wauzaji wa Simu za mkononi wa Kariakoo uenda kufanya shopping maeneo kama haya...!?
 
Duh!kama ni hivi basi hari inatisha!ipo siku zitaanza kuuzwa kwa mizani!
 
Hizi sim huwezi tumia bila fire extinguisher karibu.
 
Hapana, hii kitu hapo ni noma!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mamaaaaaaaaaaaaaa! Kumbe nikienda huko na kujaza kiroba nakuja kufungua duka la simu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…