body contact Senior Member Joined Jul 28, 2015 Posts 130 Reaction score 136 Jul 12, 2017 #1 Hiv ni kweli kuna mdudu ndani sikio?na kama sivyo,ni nini maana sahihi ya msemo huo? Sent from my SM-N920I using JamiiForums mobile app
Hiv ni kweli kuna mdudu ndani sikio?na kama sivyo,ni nini maana sahihi ya msemo huo? Sent from my SM-N920I using JamiiForums mobile app
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 102,675 Reaction score 126,931 Jul 12, 2017 #2 Ngoja Mshana aje.
Kaisari JF-Expert Member Joined Nov 13, 2012 Posts 3,636 Reaction score 3,046 Jul 12, 2017 #3 Huyo mdudu anafanya nini huko anaishije
Chinga One JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 11,494 Reaction score 12,466 Jul 12, 2017 #4 body contact said: Hiv ni kweli kuna mdudu ndani sikio?na kama sivyo,ni nini maana sahihi ya msemo huo? Sent from my SM-N920I using JamiiForums mobile app Click to expand... umenikumbusha wimbo mmoja hivi wa wahenga .......mdudu huyooo mdudu kaingiaje....mdudu ndani ya kokwa mdudu kaingiaje.....mdudu ndani ya kokwa la embe kaingiaje......... watoto wa mama hawawezi kuujua huu wimbo
body contact said: Hiv ni kweli kuna mdudu ndani sikio?na kama sivyo,ni nini maana sahihi ya msemo huo? Sent from my SM-N920I using JamiiForums mobile app Click to expand... umenikumbusha wimbo mmoja hivi wa wahenga .......mdudu huyooo mdudu kaingiaje....mdudu ndani ya kokwa mdudu kaingiaje.....mdudu ndani ya kokwa la embe kaingiaje......... watoto wa mama hawawezi kuujua huu wimbo