Mdude Nyangali aachiwe mara moja

Mdude Nyangali aachiwe mara moja

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,557
Reaction score
57,857
Naomba mahakama zimwachie mala moja Mdude Nyangali

Hatutaki hapa kesi uchwara tena kwenye taifa letu

Kuna wanaosema Rais aingilie kati kesi hii Mimi nakataa Mdude hana kesi yeyote ya kujibu ni uonevu tu na chuki za Magufuli kwa wapinzani wake.

Halafu mnataka tuwe na uzalendo, uzalendo gani mnataka bila kutenda haki.

Mdude Nyangali aachiwe kwanza halafu waliombabikiza kesi akiwemo Chalamila waombe radhi na kuchukuliwa hatua Kali za kisheria.

Nchi hii sio ya CCM wala Rais aliyepo madarakani.

Hukumu yake itekelezwe halaka kama alitenda kosa kwanini ushahidi haukamiliki miaka 2 sasa?

Resources zinazopotea kwenye kesi uchwara ni kodi ya watanzania.

Baada ya haki ndio uzalendo utafuata.
 
Hizi bange za asubuhi hizi hata jumapili jamani!!
 
Back
Top Bottom