Mdude Nyagali Amepatikana?

Hawajamuachia, wanajua imeshapita hiyo.
 
Chadema ina wanachama wanafiki sana ukiongea wanasema wapo nyuma yako ila ukipata tatizo hakuna hata mmoja anaeweza kutoka barabarani kunyanyua Bango kukutetea
 
Chadema ina wanachama wanafiki sana ukiongea wanasema wapo nyuma yako ila ukipata tatizo hakuna hata mmoja anaeweza kutoka barabarani kunyanyua Bango kukutetea
Aisee. Mdude si hoja tena, hoja ni picha ya jamaa fulani hivi mnene ameipiga ikulu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…