Hakuna mabaya yanajificha sasa kila kitu kipo wazi kesi ya kubambikiwa hiyo
Siri imefichuka ni mbinu za kishamba sanapapuchi ndio imemponza kamanda nasikia
Kumbe unajua kilicho nyuma ya pazia.jiwe muhuni kama wahuni wengine.
Nikweli ila Mdude nayeye kafail sana, hakuwa anajua principals za uanaharakatiHakuna mabaya yanajificha sasa kila kitu kipo wazi kesi ya kubambikiwa hiyo
huyo binti kama ana Akili ahame nchiSiri imefichuka ni mbinu za kishamba sana
Nadhani hakuwa anajua anachokifanya,hakujua maana ya mwanaharakati na misingi yake.......Ukiwa mwanaharakati unayepingana na serikali unatakiwa uoe haraka sana ili just in case something happen basi uwe umeacha japo katoto.
Ukiwa mwanaharakati unayepingana na serikali unatakiwa uachane kabisa na mademu wa mitandaoni au kufanya appointment na watu usiowajua, au uwafanyie thorough assessment kwanza kabla hujakutana nao.
Huyu jamaa kama kweli kashikwa kizembe hivyo atakiwa amewaangusha makamanda wenzie. Utakuwaje mwanaharakati mwenye njaa na papuchi?
Unforgetable
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mfano tuseme kweli kategwa kama alivyosema mbabe wa twitter.Ukiwa mwanaharakati unayepingana na serikali unatakiwa uoe haraka sana ili just in case something happen basi uwe umeacha japo katoto.
Ukiwa mwanaharakati unayepingana na serikali unatakiwa uachane kabisa na mademu wa mitandaoni au kufanya appointment na watu usiowajua, au uwafanyie thorough assessment kwanza kabla hujakutana nao.
Huyu jamaa kama kweli kashikwa kizembe hivyo atakiwa amewaangusha makamanda wenzie. Utakuwaje mwanaharakati mwenye njaa na papuchi?
Unforgetable
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mfano tuseme kweli kategwa kama alivyosema mababe wa twitter.
Hivi unawezaje kushitukia mchezo kama binti anatokea jimboni kwa mbunge wa CHADEMA, jimbo linalo dhaniwa hicho chama kina nguvu sana kuliko mahali popote duniani?
Mrembo anaigiza CHADEMA in blood, na anajitambulisha ni wa makabila yale ambayo CHADEMA iko damuni, huku akirusha mapicha au twitt kibao za kichadema?
Anakusifia kwa ujasriri wako wa ajabu kuongea lolote dhidi ya dola na mwenye kushika dola.
Anakupa pole na kukuonesha nia ya kukupunguzia machungu ya kutenguliwa nyonga ama 'center bolt' kama alivyo wahi kuiita mdudde mwenyewe. Kisha anakurushia muamla 1M na kitu tarehe hizi ngumu kiuchumi.
Ukimcheki mtoto mwenyewe pengine kwa mtazamo wako (sio wangu) mzuri balaa anakuahidi kuja kukutunuku tufaa(apple) lililomponza adamu.
Tuwe wakweli jamani hivi nani kati yetu angechomoka huo mtego hasa sisi wenye kipato cha kawaida kama mdude?
Tuache kumdhihaki mdude, tuache unafiki tuwe wakweli na tuseme kamanda imemkuta ajali kazini kama nzi kufia kwenye kidonda.
Zingatia elimu na umri wa Mdude kabla huja mhukumu au kumdharau kunasa kijinga hata kwa yale aliyokuwa anatuma mitandaoni bila tahadhari au kufanya yale yaliyo pelekea kuingia mikononi mwa vyombo vya sheria.
Elimu ya msingi na kujifunza ufundi vyuo vya mtaani DRC au zambia sikumbuki vizuri kati ya nchi hizo mbili wapi alienda kujifunza ufundi.Naweza kufahamu elimu ya Mdude?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mtamsafisha kwa kila sabuni Ila haitafuta kuwa kakamatwa na madawa ya kulevya tunasubiri tu taarifa rasmi huu msukule ni Teja au Ni pusher+ kifungo Chake.Nikweli ila Mdude nayeye kafail sana,hakuwa anajua principals za uanaharakatiView attachment 1449512