Mdude Nyagali: Mnanunua ndege kwa pesa taslimu halafu mnaenda kukopa dawa za binadam Bohari Kuu. Tukiwambia mnavuta bangi bila malengo mnalalamika

Mkuu unanunua ndege ili ikusaidie miaka ya mbeleni usiweze kukopa tena dawa bali kununua

Hivi mtu kununua basi kwaajili ya daladala na akakopa michele..huyu mtu hio daladala itamsaidia miaka ijayo asikope tena michele,sukari dukani atakuwa ananunua viroba kwa viroba ni moja ya mbinu
Stupid Mofo.. Kwa mawazo yako haya wewe ni disgrace to humanity.
 
Stupid Mofo.. Kwa mawazo yako haya wewe ni disgrace to humanity.
Kwahiyo nchi yako fukara ina uwezo wa kujenga barabara,reli,kununua madawa,na takataka kibao kwa pesa ipi mliyonayo au uchumi gani

Let magu ajenge uchumi na ni ipi njia ya kujenga uchumi ni nyie malofa kula majani anunue ndege ili sekta ya anga kwa miaka 5-10 iiweke Tz kwenye nafasi nzuri ya kiuchumi na kuongeza GDP sambamba na sekta zingine kama ya reli nk

Wewe ni disgrace kwa maendeleo
 
Wewe ni mpumbavu kweli!

Hizo barabara, reli, ndge zote hizo nafanya kwa ajili ya mazombie au? Hao watu ambao anawa ignore uhai wao si ndio wanaotakiwa wanufaike na hayo maendeleo unayosema? Sasa inakuaje watu wanakufa wewe unanunua ndege?

Ndio kipindi kile watu wanalia njaa yeye anajenga reli.. Akili za CCM ni akili za kipumbavu kabisa kuwahi kutokea duniani.

Maendeleo ni watu na sio mivyuma yenu hiyo.
 
Sasa mkuu madawa yameletwa au hayajaletwa?

Kwani kukopa dhambi zingekuwa hazijaletwa ungepaswa kulaumu sasa zimeletwa shida iko wapi.
 
Bohari kuu ni serikali wewe, acha ujinga! Kwa hiyo serikali inajikopa?
Naona umeshashiba sasa unakunya kwenye sinia humo humo!
Wewe ndiyo mpumbavu msd WANANUNUA DAWA NJE NA NDANI KWA PESA ZA KIGENI NA TASLIMU KAMA SERIKALI HAILIPI, INAMAANA INAKOPA MANUNUZI YA JAYO, NADHANI MTOTO WAKO ANAYO AKILI KUKUZIDI
 
Mkuu unanunua ndege ili ikusaidie miaka ya mbeleni usiweze kukopa tena dawa bali kununua

Hivi mtu kununua basi kwaajili ya daladala na akakopa michele..huyu mtu hio daladala itamsaidia miaka ijayo asikope tena michele,sukari dukani atakuwa ananunua viroba kwa viroba ni moja ya mbinu
Mkuuuu wanapo goma kukukopesha huo mchele watoto wako watakula nini????
 
Hivi umesoma hicho ulichokinukuu ama ushabiki tu wa chama chako umekutia upofu?

Kwenye hiyo "Wikipedia"uliyoinukuu umeona kama kuwa imeandikwa hivi "Medical stores department was established by the act of Parliament No. 13 of 1993 as an autonomous department under the ministry of Health,Social development, Gender, Elderly, and Children.

Kwanza elewa kwamba MSD imeanzishwa kwa sheria ya Bunge na kwa maana nyingine serikali haina nguvu ya kisheria kufanya kinyume na sheria iliyoianzisha MSD. Na inawezekana wengine enzi za "Bohari ya madawa" hamkuwepo. Bohari ya madawa ndiyo moja kwa moja ilikuwa chini ya Serikali.

Baadae ikaonekana kianzishwe chombo ambacho hakitakuwa chini ya serikali lakini kitakuwa kinasimamiwa na serikali. Lengo lilikuwa kuzuia siasa kutumika katika kuchukua madawa na kuyatumia bila ya kulipia wakati mengi kati yake tunayanunua kwa mkopo na kwa kutumia fedha za kigeni.

Kwa mujibu wa sheria iliyoiunda MSD serikali ni mteja namba moja wa MSD lakini yenyewe haiimiliki MSD. Kwa maana nyingine inatakiwa serikali itoe hela ndiyo wapewe dawa. Hili jambo wanalielewa vizuri sana DMO's na RMO's.

Turudi kwenye kuamini kwamba MSD ni mali ya serikali. Sheria iliyoiunda MSD imeandikwa kuwa MSD imeanzishwa "as autonomous department under the ministry..." neno "autonomous" kwa kiingereza lina maana ya " having the freedom to act independently." au kwa kiswahili "kuwa na uhuru wa kufanya mambo yake chenyewe bila ya kuingiliwa"

Kwa maana nyingine ingawa MSD iko chini ya Wizara inayoshughulikia (Jina la wizara si jambo la msingi) masuala ya Afya, lakini kwa sheria iliyoiunda MSD si wizara wala Rais aliyeiunda wizara hiyo wenye mamlaka ya kupewa dawa bure.Serikali inakopa kwa kuwa haina mamlaka ya kuchukua dawa bila ya kulipa MSD.

Halafu Jogoo dume nimeona umeandika kwa mbwembwe sana kwamba MSD ndiyo bohari Kuu. CCM mna shida sana!! Mdude yuko sahihi kwa asilimia mia moja!!

Kilatha commonmwananchi kawoli MOTOCHINI Lupalilo ngwada Two dimension array mbasha mazengo Ruttashobolwa FaizaFoxy Mr. Django BEHOLD ufukunyuku exit ngopyolo mbwewe The golden Mwanahabari Huru craq gogo la shamba mbari viking Cliffhanger Suriya Hijja Madava Bila bila mulwanaka Sir Khan Nitajulikana Mmawia
Sasa kama mpaka hapo hawajakuelewa inabidi tupambane kumjua aliewatia huo upunguani.

Hili la serikali kununua/kukopa dawa MSD mbona linajulikana . Kweli mapenzi upofu.. Eti serikali inajikopa.

Ama hakika tanzania tuna safari ndefu sana.
 
Back
Top Bottom