Mbowe Hana uwezo wa kushauri jipya kwa Lissu!! Lissu alimbagaza sana Mbowe na matusi juu ya Kwamba kalishwa asali Mara mama Abduli kamnunua na kashfa kibaoβ¦..Kama mambo ni haya Lissu asijidanganye hataweza ongoza CDM kwa amani
Cha msingi Mbowe na Lissu wakae mezani man to man wakubaliane vitu ndio wasonge mbele
Huu uongo wa kundi moja kujifanya mwamba sana zaidi ya jingine,hawawezi enda mbele
Na ACT ndio ipo positioned kunufaika na huu mgawanyiko zaidi
Lissu kwavile kashinda,anatakiwa yeye ndio awe big brother kukusanya hawa watu,but I see Lissu hawataki anaona anaweza everything yeye kawa Mungu
Naona Lissu atakuja kuishia kua kama Lyatonga na Chadema kwenda kua TLP
NI kichaa tu anaweza amini Mbowe hamiliki 50% ya CDM regardless nani anakiongoza,hii ni hatari ndio maana inatakiwa wake chini hawa watu
Lissu nadhani anajiona much-know sana,haoneshi lugha za upatanishi wala ya kuunganisha,hili lazima limsumbue sana na mpaka wanafika October watakua wamechoka sana
Kuna mtu mmoja wa upande wao amesema wazi kuwa hana mpango na kitu kama kutibu majeraha. Msimamo wake ni wale walioshindwa, waufyate.Kama mambo ni haya Lissu asijidanganye hataweza ongoza CDM kwa amani
Cha msingi Mbowe na Lissu wakae mezani man to man wakubaliane vitu ndio wasonge mbele
Huu uongo wa kundi moja kujifanya mwamba sana zaidi ya jingine,hawawezi enda mbele
Na ACT ndio ipo positioned kunufaika na huu mgawanyiko zaidi
Lissu kwavile kashinda,anatakiwa yeye ndio awe big brother kukusanya hawa watu,but I see Lissu hawataki anaona anaweza everything yeye kawa Mungu
Naona Lissu atakuja kuishia kua kama Lyatonga na Chadema kwenda kua TLP
NI kichaa tu anaweza amini Mbowe hamiliki 50% ya CDM regardless nani anakiongoza,hii ni hatari ndio maana inatakiwa wake chini hawa watu
Lissu nadhani anajiona much-know sana,haoneshi lugha za upatanishi wala ya kuunganisha,hili lazima limsumbue sana na mpaka wanafika October watakua wamechoka sana
Nilipogwa 1 week. General Lissu pengine kaniombeahuenda mods walipuuzia takwa lake la kupigwa bani lissu akishinda
Kama ulivyosemaKuna mtu mmoja wa upande wao amesema wazi kuwa hana mpango na kitu kama kutibu majeraha. Msimamo wake ni wale walioshindwa, waufyate.
Nimemsoma mwingine ambae amehoji kwa nini Mbowe anaitwa Mwenyekiti. Anataka aitwe Mwenyekiti Mstaafu. Ukweli ni kuwa kuna vyeo vya kudumu kama Rais, Jaji, Jenerali, Profesa na naam Mwenyekiti. Sio lazima kila wakati kuongeza sifa ya "mstaafu". Hata Lissu anamuita Mbowe "Mwenyekiti ". Na hasira zilikuwa kwa sababu kuna kundi la wakina mama lilienda kumsalimia.
Amandla...
HahahaaaaMbowe Hana uwezo wa kushauri jipya kwa Lissu!! Lissu alimbagaza sana Mbowe na matusi juu ya Kwamba kalishwa asali Mara mama Abduli kamnunua na kashfa kibaoβ¦..
Mtu aliekaa miaka 20 Ana jipya gani kwa Lissu mjuaji wa yote??
Na ndio mwanzo. Watajaribu ku spin kuwa yana tofauti na yale ya Mbowe.Kama ulivyosema
hawa watu naona hawapo kwenye reality,bado wapo kwenye fantasy fulani hivi
Leo Lissu kaingia ofisini rasmi,nasikia kasema yuko tayari kwa mazungumzo,kwahiyo ile tough talk eti ya hakuna mazungumzo ilikua danganya na some fools believed him
View attachment 3217377
Na akithubutu kushauri watamuangushia jumba bovu kama mambo hayataenda vizuri. Watasema yote ni kwa sababu alijaribu kuwaingilia hata kama hawakufuata ushauri wake.Mbowe Hana uwezo wa kushauri jipya kwa Lissu!! Lissu alimbagaza sana Mbowe na matusi juu ya Kwamba kalishwa asali Mara mama Abduli kamnunua na kashfa kibaoβ¦..
Mtu aliekaa miaka 20 Ana jipya gani kwa Lissu mjuaji wa yote??
Lissu alimtukana sana Mbowe juu ya maridhiano akasema yeye anaanza mchaka mchaka sasa aingie barabarani na tumbo lake aone.Hahahaaaa
Nachoshangaa ni watu kuamini Lissu ni mungu muweza wa yote,ata strong arm ccm kuja meza kwa lazima
Nimeamini wanasiasa wote ni waongo wataongea chochote tunachotaka kusikia ili apate kura
Leo kaingia ofisini,nasikia ile tough talk yote imeisha nasikia amesema yupo tayari kwa MARIDHIANO ambayo alisema mwanzoni kua ni batili
and some fools believed him kabisa..majaabu haya
View attachment 3217378
Kwanini umepost picha ya muheshimiwa samia bushiri bila ya idhini ya waislamuππWewe kibwengo toka uchaguzi wa Chadema uishe ndiyo leo unsoneka usiyemtaka ndiye mwenyekiti sasa
Kwa vile yuko humu kuisakama Chadema ndiyo maana wamemuachiaMods huyu aliomba life ban. Kwanini hamumtendei haki yake? Kweli mods hamtendi haki imethibitika.
Active
Kamwambia mwizi, tapeli , mtekaji na hana influence ya watz. Tuone yeye kama atapata tume huru ya uchaguzi.Lissu alimtukana sana Mbowe juu ya maridhiano akasema yeye anaanza mchaka mchaka sasa aingie barabarani na tumbo lake aone.
Kwa vile yuko humu kuisakama Chadema ndiyo maana wamemuachia
Lissu kawadanganyaLissu alimtukana sana Mbowe juu ya maridhiano akasema yeye anaanza mchaka mchaka sasa aingie barabarani na tumbo lake aone.
Anatafuta sababu ya kukimbilia BelgiumLissu kawadanganya
sijui maandamano blah blah
sijui mshike mshike blah blah
sijui hatutaki maridhiano blah blah
haya majamaa mataahira kweli
ππππ
View attachment 3217663