Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,119
Madame Eks, nikupe mchongo uone taswira (movie mbele yako)..hivi Mletee zawadi Mdosi wako !! (hata mfuko wa chichiri) !! akichukwa ujue ni urafiki tu ! na akiupotezea ujue yupo ready !!LooL
Hebu toa ushauri wako....basi...saa nyingine maarifa unazidiwa
LooL
Hebu toa ushauri wako....basi...saa nyingine maarifa unazidiwa
Niliposoma hii thread haraka sana nikakumbuka mapenzi ya Kihindi kwenye zile movies zao...
Anyway MadameX najua unajua nini cha kufanya...