mdogo wangu yupo masomoni

avatar yako d, ingependeza ungeipata ya bi mkora original,
 
Hebu toa taarifa elekezi;mdogo wako(kama kweli) anasoma wapi,anasomea nini,ameolewa au bado,namba ya simu,ana umri gani hizo ni taarifa muhimu kuliko picha.Anywayanaonekana mtulivu na amepoa kwa nje!!!mna uhakika wa kupata ng'ombe kadhaa hapo
 
We umeamua kumfanyizia huyu mdada kuposti fotos zake. Kama amekutema uwe mstaarabu uheshimu uamuzi wake, sio kujidai mdogo wko aafu unamdhalilisha hapa JF
 
Bi Mkora, kwanza jina lako nimelikubali, ungepata picha ya bimkora orijino ukai-avatar ingekuwa poa sana!
Sasa hizo picha za mdogo wako mbona hujazibandika zote? Hiyo sereies naifahamu; kuna picha zinamisi hapo teh teh, kama unaogopa kuzibandika hapa ni-pm bana! au zirushe kwenye amoebazone@gmail.com
 
hivi nauliza kwaninin wanawake wanakubali kupigwa picha katika hali kama hiyo ? hivi mwanaume anapokwambia nikupige picha katika hali kama hiyo wewe mwanamke unawaza nini kukubali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…