Mdogo wangu anatafuta kazi

PierreLiquid

JF-Expert Member
Oct 16, 2019
596
2,279
Umri 19
Jinsia KE
Uzoefu Alishafanya Butcher la samaki kwa mwaka.
Makazi Dar es salaam
Sifa mtiifu na ana adabu sana.

Mawasiliano: 0712605935

Nipo tayari kumdhamini kwa lolote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmhh kweli anatafuta kazi yani hadi umeamua kuweka namba yake ya Simu hapa jf au sio mtoto wa kike mkuu,
 
Mwamba unampiga bei dada yako kweli yaan miaka 19 umeanza kugawa namba zake alafu akija kwako na mimba utamuita Malaya?

Yawezekana una nia nzuri ila nakushauri tafuta njia nyingine ya kumtafutia kazi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwamba unampiga bei dada yako kweli yaan miaka 19 umeanza kugawa namba zake alafu akija kwako na mimba utamuita Malaya?

Yawezekana una nia nzuri ila nakushauri tafuta njia nyingine ya kumtafutia kazi!

Sent using Jamii Forums mobile app
nani kakwambia hizo namba ni za huyo mdogo wake wa kike....mkuu inaonekana upo negatively sana,uwe unavichukulia vitu positively
 
Jamani Ebu mpeni mchongo mtoa mada, amesema hizo namba za kwake,,acheni mawazo potofu
 
Kwani wewe nani kakwambia hizo namba ni za mleta mada mkuu?

Kuna comment nyingi hapo juu zinazoongelea hyo namba kazisome na uwajibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
mleta maada ametoa tu mawasiliano kwa mtu mwenye shida ya kumsaidia..hajakwambia namba ni ya binti,namba ni ya baba mzazi wa binti or namba ni ya mwenyekiti wa mtaa anaoishi binti...but wakurupukaji kama wewe ambao mara zote akili yenu ina judge mambo negatively unaanza kuropoka kuwa jamaa amempiga bei mdogo wake...nani kakwambia iyo namba ni ya mdogo wake???hayo ni mawasiliano kwa mtu mwenye nia ya dhati ya kumsaidia binti...haijalishi ukipiga atapokea baba mchungaji wa huyo binti or jirani wa huyo binti but acheni kuyaangalia mambo negatively
 
Mnatangaziwa ingizo jipya!
Lina uzoefu wa mwaka mmoja TU!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom