Mdogo wangu anahitaji mpenzi

sifa ninazo ile kwenye bia sasa ndo hapo tuta shindwana
 
kwasababu umri wake kwenye hii mada ni sawa na umri kwenye ile mada
 
mpooo? mdogo wangu amemaliza chuo,ana miaka 22 bado bikra,anahitaji mpenzi sio wa kumchezea,yupo dar. pls kama huna nia usi pm.
sifa;
.asiwe mvaa milegezo
.asiwe mvuta sigara,bangi na madawa
.asiwe mlevi
.asiwe muhuni.
Mimi nataka urafiki
 
Njoo pm moja kwa moja kwa niaba ya huyo mdogo wako.
 
I wish nikuje PM..... ila ninachokiona hapa, wewe na mdogo wako wote ni mapepe tu
 
Kama hutaki hizo sifa itakuwa ngumu sana kwa vijana wa kileo [emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…