Mdogo wake Kanumba apooza ghafla

so sad, Mungu amponye, aisee , eeh Mungu turehemu!

So sad jamaa katutoka, ila kuna jambo la kujifunza, maisha mazuri kwa watu wengi na starehe za muda mfupi ndio huishia hivyi, sihukumu, ila tujitafakari
Mungu hakuna
 
Huna akili Wewe,Kwa Hiyo wote waliogongwa au kubakwa hawapendwi na Mungu?
Ambaye Hana Akili ni wewe !? Wewe ukiwa kama mzazi mwenye upendo utakubali kuona Watoto wako wanabakwa na kuuwawa ilhali unazo nguvu za kuzuia huo uovu ,

Kama una nguvu za kuzuia halafu ukawaacha watoto wako wa bakwe tuta Kutafsiri ni baba mwenye upendo au baba katili !?

Mnao amini kwamba Kuna mungu huwaga hamna Akili
 
Propaganda ulizomezeshwa utotoni zimekutawala Akili
 
Bila shaka hii dharau yako mungu ameipokea .. unamtukana aliyekuumba kisa mdogo wa kanumba anaumwa? Unamtunishia msuli mwenyezimungu eeh?? Haya Ngoja tukuachie janga lako
Janga Gani !? πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜ Wafia dini mna matatizo sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…