Mdogo mdogo remix

Mdogo mdogo remix

Robert S Gulenga

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2013
Posts
2,255
Reaction score
1,565
Aaah Oh Nimetembea tembea adi show za Ulayani,
Ila sijawai zomewa FIESTA ndo namba one,
Nlitaman nishuke nlishindwaa,
Zitatapakaa scandal najuaaa,
Midomo ya binadam michafu sana,
Tena ni wana haram hawana mana,
wana wivu hooo
haoo haoo
wachonganishi haoo
haoo haoo
Sikupenda nimwone davido nae anazomewa ndo mana nkapanda jukwaan kumtetea
skupenda nimwone davido akizomewaaa utam wa collabo naee ukala kwaaangu
aha Ali kiba kanshindaje mbna ni bwana mdogo
nauliza kanshindaje uyu bwana mdogo
 
Hhhhhhaaaaaaaaq Daimond lazima apande chati mara mia zaidi
 
Hahahaaa.. Yani meneja alishasema haya matukio yana faida kubwa kwa diamond.. Refer lile tukio la ujerumani
 
Aaah Oh Nimetembea tembea adi show za Ulayani
Ila sijawai zomewa FIESTA ndo namba one
Nlitaman nishuke nlishindwaa
Zitatapakaa scandal najuaaa
Midomo ya binadam michaf sana
Tena ni wana haram hawana mana
wana wivu hooo
haoo haoo
wachonganishi haoo
haoo haoo
Sikupenda nimwone davido nae anazomewa ndo mana nkapanda jukwaan kumtetea
skupenda nimwone davido akizomewaaa utam wa collabo naee ukala kwaaangu
aha Ali kiba kanshindaje mbna ni bwana mdogo
nauliza kanshindaje uyu bwana mdogo
Ungetunga wako sio kudandia!
 
Hhhhhhgaaaaaaaaaa

E bana kuna comment yako moja ile umesema tangazo tangazo kila nikiitafuta nataka nikuongezee like siioni, au mods wameitoa. Yaani lile ni bandiko la wiki, kila nikiifikiria nashindwa kuamini kama we umepinda kiasi kile.
 
Wewe sema tu kuna mtu wako mwenye hilo tatizo upewe dawa acha kuzunguka zunguka,ooh dawa imeisha...ooh unalitafuta tangazo
 
Jitu zima linaandika ujinga.unalipwa?!
 
Back
Top Bottom