Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,484
- 34,223
Sasa hapo ndio atajua mjusi na mbwa nani zaidi😂😂Kwani katishwa na nani? Nchi inaendeshwa kwa mujibu wa KATIBA ya nchi, Mdee & Co wanapambana na CHADEMA katika eneo la kisheria kuhusu uhalali wao pale Bungeni.
Mahakama imetoa uamuzi wa kutupilia mbali pingamizi lao siyo CHADEMA mjusi wewe.
'Mungu katuamulia ugomvi'.
Tulia wewe hatutishwi na mbwa tunaowafugaKwani katishwa na nani? Nchi inaendeshwa kwa mujibu wa KATIBA ya nchi, Mdee & Co wanapambana na CHADEMA katika eneo la kisheria kuhusu uhalali wao pale Bungeni.
Mahakama imetoa uamuzi wa kutupilia mbali pingamizi lao siyo CHADEMA mjusi wewe.
'Mungu katuamulia ugomvi'.
Wewe umeanzisha kipi?Kwanini asianzishe chama chake?
Wa kupimwa akili wewe..!!Kusema ukweli kabisa zamani nilikuwa simuelewi kabisa Mdee. Ila kwa sasa huniambii kitu kuhusu huyu binti wa shoka komando kabisa.
Kwanza anajiamini na ana akili nyingi sana huyu binti. Nimegundua hili kupitia hili suala linaloendelea la kuvuliwa uanachama na Ubunge.
Baada ya makamanda uchwara kupotoshwa jana kuhusu kesi yake, Mdee anaendelea kuwacheka tu jinsi wasivyojua Wala kuelewa chochote kuhusu sheria.
Mdee anakwambia hawezi kutishwa na mbwa anaowafuga mwenyewe. Hili ni dongo kwa makamanda uchwara wote[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Nami naungana nae, unatishwaje na mbwa unaowafuga? Chama kakikuza, kakipigania, kakipandisha hadhi, kawapa umaarufu wanachama humo halafu leo mje kumtisha?
Ikiwa tuna Rais wetu mwanamama wa shoka SSH, hivyo naona wazi Mdee ana nafasi kubwa pia ya kuwa mwenyekiti kwenye hiko chama.
Mdee shikilia hapohapo hadi waombe poo
#kazi inaendelea#
View attachment 2270753
Mdee utamfananisha na nani huko chadema?Unaandika takataka tu hapa, akina Halima hawana lolote ni mamluki tu waliokwisha fika bei kwa ccm.
Wachukueni basi kama leo wamekuwa wa maana baada ya kuwa wasaliti Chadema kwa sababu mtu wa Chadema awi shujaa mbele ya macho ya ccm mpaka afanye usaliti kwa chama chake. Very useless comment.
Mzee kingunge alijeruhiwa na mbwa aliokua anawafuga mwenyewe mpaka mauti ikamfika. It is just a matter of time.Kusema ukweli kabisa zamani nilikuwa simuelewi kabisa Mdee. Ila kwa sasa huniambii kitu kuhusu huyu binti wa shoka komando kabisa.
Kwanza anajiamini na ana akili nyingi sana huyu binti. Nimegundua hili kupitia hili suala linaloendelea la kuvuliwa uanachama na Ubunge.
Baada ya makamanda uchwara kupotoshwa jana kuhusu kesi yake, Mdee anaendelea kuwacheka tu jinsi wasivyojua Wala kuelewa chochote kuhusu sheria.
Mdee anakwambia hawezi kutishwa na mbwa anaowafuga mwenyewe. Hili ni dongo kwa makamanda uchwara wote[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Nami naungana nae, unatishwaje na mbwa unaowafuga? Chama kakikuza, kakipigania, kakipandisha hadhi, kawapa umaarufu wanachama humo halafu leo mje kumtisha?
Ikiwa tuna Rais wetu mwanamama wa shoka SSH, hivyo naona wazi Mdee ana nafasi kubwa pia ya kuwa mwenyekiti kwenye hiko chama.
Mdee shikilia hapohapo hadi waombe poo
#kazi inaendelea#
View attachment 2270753
Kahakikishiwa na Tulia kuwa atamlinda mpk mwishoMzee kingunge alijeruhiwa na mbwa aliokua anawafuga mwenyewe mpaka mauti ikamfika. It is just a matter of time.