Ileje JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 13,753 Reaction score 21,487 Feb 6, 2012 #1 Kufuatia kikao cha Dr. Slaa (CHADEMA) na Ruhuza (NCCR), vyama hivyo vimeamua kushirikiana na kwamba kesi ya uchaguzi aliyofungua Mbatia dhidi ya Mdee itafutwa. TBC 1 saa 10.00 jioni
Kufuatia kikao cha Dr. Slaa (CHADEMA) na Ruhuza (NCCR), vyama hivyo vimeamua kushirikiana na kwamba kesi ya uchaguzi aliyofungua Mbatia dhidi ya Mdee itafutwa. TBC 1 saa 10.00 jioni