Mdau Anasema: Wanaume Si Malaya Ila.....

babalao 2

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
5,426
Reaction score
3,309
It was yesterday bana mida ya jion, jirani kanipigia simu
akanishtua kuna bonge la Foleni kuelekea Home. Yeye
alinishauri nibadilishe njia ila mimi nikakausha. Well nka decide ku
waste time kwa office kwanza ques ziishe. Ilipofika
mida ya kama 18.00 hivi nkamuona dada mmoja wa
makamo kiasi akiondoka peke yake. Jengo letu lilivyo ni
kuwa kama unatumia mlango wa nyuma kutoka lazma
upitie department yetu.
As usual, boys will always be boys nkaanzisha story na
kumsihi kuwa mida hii mafoleni makubwa avute hata 15
mins hivi ndo aende. Pamoja na kuwa alikataa kusubiri
kwa kisingizio kuwa kesha chelewa sana lakini
alisimama kunisikiliza. Here I was alone na bidada
kwenye mazungumzo ambayo hata hayakuwa na aim
yeyote ya maana. Kiufupi huyu dada mi huwa namuona
tu na najua anafanya kazi pale ofisini ila sijawahi hata
kuongea nae.
Waswahili wanasema Mbuzi akifia kwa muuza supu
kinachofuata kinajulikana. Basi na mimi when I ran out
of things to say kwa huyu mrembo nkamuingia. Ingawa
nia yangu haikuwa kumtongoza na nili expect akatae
kabisa na aondoke ila aliendelea kunisikiliza huku
akijichekesha. Sio kwamba ninampenda au nimevutiwa
naye ila niliishiwa tu story na maneno ya kusema kwa
wakati ule. Nlivyomuuliza kuwa ombi langu analipokeaje
jibu lilinishangaza zaidi. Baada ya kuona hana dalili ya
kukataa nkamfungukia kuwa nina mchumba wangu
nategemea kumuoa hivyo this relationship ni Non-
official. Hili pia halikumfanya akatae and she was up for
it huku akijitamba kuwa yeye ni bingwa wa kutunza siri
and no one will know.
I was Flabbergasted, sijui ni ushamba au ndo maharage
ya mbeya ila how can you possibly say yes? The
conversation lasted for abt 40 mins. Tukabadilishana
contacts with a promise kuwa tutawasiliana. To be
honest ningeendelea na hata kumuomba tukapate
vinywaji na baadae guest angekubali kabsaaaaa 100%.
Unajua nimeamini kuwa hakuna mwanaume Malaya ila
tatizo wanawake wanatuwekea K mezani kirahisi mno.
Wengine hatupendi ku cheat ila kama wanawake
hawabadiliki sidhani kama tutafanikiwa. As for the time
being, I’m keeping her number just incase. Who knows
she may be a very good friend after all.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
 
mh!@Baba lao 2 na we ndo walewale jaman na we unamchumbako why umjaribu dada wa watuuu!!!
 
mh! umalaya tu unakusumbua!! haya hapo unajifanya ulikuwa unajarib mh!! kwa mtindo huu ndoa zitavunjika saaaan! na vyanzo nyie nyie wenye mikia!
 
Unatuchosha,ume'rewind hii stori kama ilivyo,USHAIPOST HUMU,with a different heading,bisha hapaa af niitafte
 
Hivi kwa nini mnapenda kuwajaribu wenzenu? Dhamira yako haikushtaki as unajiweka kwenye mazingira chanya ya wewe kuzini na kufanya uasherati? Jamani sio kila mwanamke ni mwanamke wengine ---------- na mapepo ukishamjaribu tu unahama familia. Jifunzeni usijione ni bingwa katika mashindano ambayo hayana mbele wala nyuma. Baki njia panda,...........
 
Kaka nipe hiyo pass mimi niendelee nayo
We msubiri mchumba wako
 
Bado cjakuweka ktk kundi la waaminif, still kwenye msafara wa mamba na kenge wamo ishu mvua ikinyesha
 
Ha ha nilijua tu galz lazima waicrush hii threads hapo ni ukweri mtupu babalao upo sahihi kabisa hawana msimamo na kama wapo ni wachache sana
 
Last edited by a moderator:
Hii kitu ni duplicate na ina chembechembe za uongo.
 
Mmmmh ni Kweli kabisa!!!mpaka nashangaa waliokua wanasema wanawake wagumu walikua waongo au? Yaani unagusa tuu kimo.!!!!tena hivi visis duuu Ndio bure kabisa...mnatia kinyaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…