Nilikuwa nna uwezo wa kuzitoa hizo kokoto zote kwenye mduara na kuziingiza moja moja kwa kuzinyanyua na kuzishushia dimbani huku Limao au Ndimu ikiwa hewani.
Huu mchezo raha sana.
Unatoa zote hizo kisha unaanza kuzirudisha moja baada ya nyingine, na ukiendelea unaanza kurudisha mbili mbili, unakuja tatu tatu.
aisss...hata sijui nilikuwa naangalia huo mchezo au huyo anayecheza...hata sijui kama nilikuwa ninamwangalia huyo anayecheza niliangalia sehemu gani ya mwili wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.