Mdahalo wa Katiba mpya

Nov 24, 2010
54
3
nimesikia kuna mdahalo wa wasomi juu ya katiba mpya utakaoongozwa na nguli wa sheria prof.issa hivji ss naomba kuuliza au kupata uhakika ni wapi, lini, saa ngapi na kama wote tunakaribishwa au ni watu maalum?
asanteni jf members
 
Nimesikia mdahalo pale Nkrumah Hall Udsm siku ya tarehe 15/01/2011. Wengine waendelee kutoa taarifa zaidi
 
Back
Top Bottom